Masasi ya Geofrey Mwambe ni bambam

Nakuunga mkono hao wanao msifia wote ni wanufaika bnafsi wa Mwambe
Hao wote ni chawa wake wanaopewa vijipesa vya kula ili kueneza propaganda masasi bado hali ya kimaendeleo ni mbovu na hairidhishi.

Mbunge anaonekana baada ya mwaka kuja kugawa hizo gari kisha anapotea sijui ataonekana lini tena ngoja wanamasasi tusibiri mgao mwingine tusubiri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Asante mudy malimwengu
 
kwa huo usomi wake ameweza kuleta wawekezaji wangapi hapo masasi
 
Ukikuta mtu amejenga hoja, mpinge kwa hoja.

Haijawahi kupita muda wa kufikia miezi mitatu au minne kabla hajafika Jimboni kwake kwa mujibu wa wakazi wa Masasi Mjini.

Maeneo mengi ya kimkakati na ya kisekta yamekuwa na mwonekano wa tofauti ikilinganishwa na miaka kadhaa nyuma.

Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni.

Ni wazi kwamba Mheshimiwa Geoffrey Idelphonce Mwambe(MB) amejipambanua kiutendaji.

Wenye nia njema, waendelee kumuunga mkono ili kufikia malengo ya kile alichokikusudia.
 
Uko aahihi Sana nikweli kabiaa huyoo anaandika vitu havijui tu
 
Hacha uchawa, kwan mpaka atangaze??? Hapo ni kutaka sifa tu na c zaidi
 
Mwambie. Hawa chawa wanaokusifu humu umewapa Bei gani?
Hivi mwambe kwa akili yako unadhani wanao ingia jf wanapiga kura?
Wanao piga kura Ni wanaododewa na korosho zao kibaya zaidi 2025 mwendazake aliyekubeba hata kuwepo.
Anza biashara nyingine mapema.
 
Mwambe alibebwa na jpm hilo linafahamikia sio mwanasiasa na hawezi siasa..masasi imemshinda..kutwa kuhonga gari kwenye shule ndio anacho amini..ila matatizo halisi ya wana masasi hayaoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila kwenye issue ya Msikiti japo haitosemwa ni Mzee anarudisha kwa Jamii... Masasi amepata pesa kwa kuuza unga wa ngano, ice cream nk so anarudisha kwa Jamii kwa kujenga Msikiti. End
 
Mwambe huyu huyu ninayemjua mimi ndie katufanyia haya yote hapa masasi?
 
Hali ni mbaya sana katika kituo cha mabasi ya mikoani na miji jirani hapa masasi.
Kuna terminal one na two zote hali ni mbaya,mvua ikinyesha hilo tope usipime,jengo la kupumzikia abiria ni chakavu na la zamani sana,eneo la kupaki mabasi lina mashimo na madimbwi ya maji.
Bodaboda wanapiga misele mpaka miguuni mwa abiria,hakuna usalama kabisa.
Hali siyo nzuri kabisa na kodi wanatoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…