Masau Bwire ndani ya ligi kuu ya NBC Preamier League. Ateuliwa kuwa Msemaji wa JKT Tanzania

Masau Bwire ndani ya ligi kuu ya NBC Preamier League. Ateuliwa kuwa Msemaji wa JKT Tanzania

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Aliyesema Masau Bwire hatorudi Ligi Kuu ya NBC PREMIER LEAGUE Tanzania baada ya Ruvu Shooting kushuka Daraja na huyu ni naniiii!

Jamani zee la maneno ya kukera ndiyo hivyo karejea na misemo yake tutarajie MISEMO KEMKEM kutoka kwa Msemaji mpya wa JKT TANZANIA & JKT QUEEN.
 
Sawa,
Arejee tu.
Sisi hatuna shida
 
Aliyesema Masau Bwire hatorudi Ligi Kuu ya NBC PREMIER LEAGUE Tanzania baada ya Ruvu Shooting kushuka Daraja na huyu ni naniiii!!!

Jamani zee la maneno ya kukera ndiyo hivyo karejea na misemo yake tutarajie MISEMO KEMKEM kutoka kwa Msemaji mpya wa JKT TANZANIA & JKT QUEENS
.
.
.
.
.
#solomatv_updates View attachment 2697922
Maneno Yana cheza namba ngapi,na wapi ilipo ruvu
 
Back
Top Bottom