Aliyesema Masau Bwire hatorudi Ligi Kuu ya NBC PREMIER LEAGUE Tanzania baada ya Ruvu Shooting kushuka Daraja na huyu ni naniiii!!!
Jamani zee la maneno ya kukera ndiyo hivyo karejea na misemo yake tutarajie MISEMO KEMKEM kutoka kwa Msemaji mpya wa JKT TANZANIA & JKT QUEENS
.
.
.
.
.
#solomatv_updates
View attachment 2697922