MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Huwa nikisikia ripoti za huyu mwandishi kucheka nashindwa na hata ule umakini wa kusikiliza kwa taarifa unakuwa kama haupo kwani anaongeeeeeeeea mpaka ladha ya kusikiliza inapotea..
Hii ni kwangu lakini sijui wengine...
Hivi wewe unaweza kuvutiwa na Geooooooorge Maratoooooooooooooo wa ITVEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!kajipange mkuu jaribu kumsikiliza tena na si lazima umsikilize yeye over.