ila kiukweli tukatae tukubali...Simba hata ikishindwa kwa bahati mbaya kuchukua ubingwa VPL, lakini kimpira ipo juu mno kuliko Yanga kwa sasa.Kuelekea mechi yao dhidi ya Ndala siku ya jumatano.. msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire.. kanena mazito, namnukuu..
"Si unajua Yanga aliishauwawa na Simba kule poroni, sisi tunakutana nao Jumatano na kazi yetu inakuwa ni kuzika tu.
Anaendelea... "Tutakwenda na kuwazika na kumalizia kazi. Tumejipanga na tunataka kupata pointi tatu ili turekebishe mambo yetu."
Shikamoo Masau Bwire.. Tuna imani kubwa nanyi.. MSITUANGUSHE.
Mkuu.. hiyo bahati mbaya haiwezi kutokea msimu huu.. Yaani Simba ya sasa inasubiri tu kukabidhiwa kombe lake.ila kiukweli tukatae tukubali...Simba hata ikishindwa kwa bahati mbaya kuchukua ubingwa VPL, lakini kimpira ipo juu mno kuliko Yanga kwa sasa.
Haha.. Naimani "ndugu zetu" Azam hamtatuangusha.Jamaa ana ujasiri wa kuongea lakini timu yake huwa inapigwa kipigo cha mbwa mwizi.
Yanga kiboko yake Azam FC na ndo tutakaomzika ili nyinyi Simba nanyi mnyanyue Makwapa mana mna ukame wa muda mrefu
Huyu wetu sema tutapunguza dozi toka kwenye 4 hadi 2 Hivi zitamtoshaHaha.. Naimani "ndugu zetu" Azam hamtatuangusha.
[emoji23] [emoji23]Jamaa ana ujasiri wa kuongea lakini timu yake huwa inapigwa kipigo cha mbwa mwizi.
Yanga kiboko yake Azam FC na ndo tutakaomzika ili nyinyi Simba nanyi mnyanyue Makwapa mana mna ukame wa muda mrefu
Nahisi wewe unashabikia timu ya arsenal piah,kwahiyo tuendelehe kucheza mpira mzuri bila mafanikio(kubeba makombe)ni upuuzi kwahiyo tufurahie kuifunga yanga tuila kiukweli tukatae tukubali...Simba hata ikishindwa kwa bahati mbaya kuchukua ubingwa VPL, lakini kimpira ipo juu mno kuliko Yanga kwa sasa.