cha1509 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 258 Reaction score 402 Mar 27, 2019 #1 Huyu n msemaji wa ruvu shooting ambaye amejizolea umaarufu mkubwa wapenzi wa soka hapa Tanzania na nje ya Tanzania, Leo nimeamua nikukumbushe tu siku timu yake iliposhinda, angalia jinc alivyokuwa na furaha na Tambo zake piaView attachment Masau Bwire ( 480 X 854 ).mp4 Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu n msemaji wa ruvu shooting ambaye amejizolea umaarufu mkubwa wapenzi wa soka hapa Tanzania na nje ya Tanzania, Leo nimeamua nikukumbushe tu siku timu yake iliposhinda, angalia jinc alivyokuwa na furaha na Tambo zake piaView attachment Masau Bwire ( 480 X 854 ).mp4 Sent using Jamii Forums mobile app
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Mar 28, 2019 #2 Ni mmoja ya wapuuzi wanaorudisha soka la Tz