Elections 2010 Masauni apitishwa kugombea ubunge 2010... Kweli CCM kiboko

Elections 2010 Masauni apitishwa kugombea ubunge 2010... Kweli CCM kiboko

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
i.Jimbo la Mtoni: Ussi Ame PANDU
ii.Jimbo la Mfenesini: Nasib Suleiman OMAR
iii.Kiembesamaki: Waride Bakari JABU
iv.Jimbo la Dole:Sylvester Massele MABUMBA
v.Jimbo la Magogoni: Issa Abeid MUSSA
vi.Jimbo la Bububu:Juma Sururu JUMA
vii.Jimbo la Dimani: Abdalla Sheria AME
viii.Mwanakwerekwe: HajiJuma SEREWEJI
ix.Jimbo la Fuoni:Said Mussa ZUBEIR
x.Jimbo la Chumbuni: Perera Ame SILIMA
xi.Jimbo la Kwahani😀r.Hussein Ali MWINYI
xii.Jimbo la Mpendae: Salum Hassan Abdalla TURKEY
xiii.Mji Mkongwe: Nassor Juma MUGHEIRY
xiv.Jimbo la Magomeni: Moh’dAmour CHOMBO
xv.Jimbo la Kikwajuni: Hamad Yussuf MASAUNI
xvi.Kwamtipura:Kheir Ali KHAMIS
xvii.Jimbo la Amani: Mussa Hassan MUSSA
xviii.Jimbo la Rahaleo: AbdallaJuma ABDALLA
xix.Jimbo la Jang’ombe: HusseinMussa MZEE
 
Mimi kinachonishtua ni kuona majimbo 19 kwa mkoa mmoja tena wenye watu wasiofikia hata nusu ya Dar es Salaam yenye wabunge 8!

Mimi hapo formula zooote ninazo-apply zinafeli. Kweli muungano ni ishu nzito wakuu.
 
mimi kinachonishtua ni kuona majimbo 19 kwa mkoa mmoja tena wenye watu wasifikia hata nusu ya dar es salaam yenye wabunge 8!! mimi hapo formula zooote ninazoapply zinafeli. kweli muungano ni ishu nzito wakuu.
Huko ni karibu kila mtaa ni jimbo lina mbunge mmoja na mwakilishi mmoja utachoka mwenyewe, unaweza kukuta nyumba za wabunge wa majimbo tofauti zinatizamana au wanashare kibaraza.
 
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
i.Jimbo la Mtoni: Ussi Ame PANDU
ii.Jimbo la Mfenesini: Nasib Suleiman OMAR
iii.Kiembesamaki: Waride Bakari JABU
iv.Jimbo la Dole:Sylvester Massele MABUMBA
v.Jimbo la Magogoni: Issa Abeid MUSSA
vi.Jimbo la Bububu:Juma Sururu JUMA
vii.Jimbo la Dimani: Abdalla Sheria AME
viii.Mwanakwerekwe: HajiJuma SEREWEJI
ix.Jimbo la Fuoni:Said Mussa ZUBEIR
x.Jimbo la Chumbuni: Perera Ame SILIMA
xi.Jimbo la Kwahani😀r.Hussein Ali MWINYI
xii.Jimbo la Mpendae: Salum Hassan Abdalla TURKEY
xiii.Mji Mkongwe: Nassor Juma MUGHEIRY
xiv.Jimbo la Magomeni: Moh'dAmour CHOMBO
xv.Jimbo la Kikwajuni: Hamad Yussuf MASAUNI
xvi.Kwamtipura:Kheir Ali KHAMIS
xvii.Jimbo la Amani: Mussa Hassan MUSSA
xviii.Jimbo la Rahaleo: AbdallaJuma ABDALLA
xix.Jimbo la Jang'ombe: HusseinMussa MZEE
Mtu mmoja upo sawa kabisa. Mimi pia nilikuwa najiuliza kama ni kila tarafa ni jimbo au kila kata ni jimbo? Hapa kuna utata mkubwa, kuna haja ya mabadiliko ya haraka, maana vinginevyo wabara tunaonewa.
 
mimi kinachonishtua ni kuona majimbo 19 kwa mkoa mmoja tena wenye watu wasifikia hata nusu ya dar es salaam yenye wabunge 8!! mimi hapo formula zooote ninazoapply zinafeli. kweli muungano ni ishu nzito wakuu.

Umesema kweli mkuu lakini kuendeleza hata kama idadi ya watu ingekuwa kubwa mimi binafsi sioni kama ni sahihi kuwa majimbo nane hata dar es salaam. Mikoa mingi ina common problem za maji, elimu,afya, miundombinu, kilimo, ardhi.

Ni sehemu chache utakuta zina specific problem kama kule tarime kwa walechonka na walenchari, kilmbero kuna wafugaji na wakulima. So ukiangalia kila mkoa can do with maximum ya wabunge wanne au watano.

Yaani inaonyesha NEC inakidhi kiu ya kisiasa kwenye kuweka majimbo. Sasa Kama huo mkoa wa kikwajuni wakifuta majimbo matatu ni kiasi kikubwa cha pesa kinaweza kuingia kwenye maendeleo bila kuathiri kitu chochote.
 
The population of Zanzibar on August 16th 2010 is approximately 1,190,022. (Extrapolated from Tanzania populations of 40,000,000 on August 7th 2009 and 43,739,000 on February 3rd 2010, and a Zanzibar population of 1,070,000 on February 8th 2010.)
When you dig dip unakuta DSM tuko almost 4mil.
Yaani hakuna correlation kabsaaaaaaaaaaaaaaa
Unaweza kuta kila kata ina mbunge
 
Hivi huu mkoa wa mjini magharibi si una watu chini ya laki tatu? maana unguja na pemba watu hawafiki hata 1.5ml na wapiga kura wote hawafiki hata laki sita. Inakuwaje kila watu elfuishirini wawe na mbunge wao na mwakilishi? who pays this fellas kama si tanganyika?

muungano ufe, it is too much
 
Mimi kinachonishtua ni kuona majimbo 19 kwa mkoa mmoja tena wenye watu wasiofikia hata nusu ya Dar es Salaam yenye wabunge 8!

Mimi hapo formula zooote ninazo-apply zinafeli. Kweli muungano ni ishu nzito wakuu.
Mi ni muungano siupendi kwa sababu una maswali mengi yasiyokuwa na majibu. Hivi kwa nini tunahonga nafasi za ubunge Zanzibar?
Sehemu ambayo ingekuwa na Mbunge mmoja au wawili kule Zanzibar lakini utakuta kuna wabunge zaidi ya 20. DHANA YA UWAKILISHI WA JINSI HII KWELI HAIELEWEKI.

Baada ya Uchaguzi labda tushikie bango hali hii ili tupate maelezo
 
Usikute wameogopa kuvuruga mambo wakati ndio wanayarekebisha yawezekana Masauni ananguvu huko Zenji wakuu.
 
uvccm mpooooo sasa hivi mtampokea waziri ktk serikali ya mapinduzi mh masauni...atapita kuwasalimia one day hapo....na kusaini kitabu cha wageni km nh waziri.....na baada ya miaka kadhaa waziri kiongozi.....na kwasababu ni mtoto wa kigogo katika siasa tulizonazo sasa anaweza kuwa rais......
mix with yours
 
Huyu Masauni si alighushi vyeti imekuwaje tena

Chiligati anasema kuwa Mwakalebela ameenguliwa kwa sababu anashutumiwa kuwa alihonga kupata kura kwa hiyo kimaadili ya CCM ni mtu asiyewafaa; sasa huyu Masauni alifanya kosa la jinai la kugushi vyeti vya kuzaliwa ambalo ni kosa vile vile kimaadili lakini ccm inampitisha kugombea ubunge!! Hizi double standards zinawasaidiaje hawa wenye chama na zinaleta picha gani juu ya serikali ya chama hiki kuweza kutoa haki sawa kwa raia wote?
 
Huyu Masauni si alighushi vyeti imekuwaje tena
Halafu kughushi hati za serikali ni kosa la jinai lakini hakufanyiwa lolote na serikali, hasa baada ya rais kusema eti "tutamtafutia kazi nyingine."
 
Chiligati anasema kuwa Mwakalebela ameenguliwa kwa sababu anashutumiwa kuwa alihonga kupata kura kwa hiyo kimaadili ya CCM ni mtu asiyewafaa; sasa huyu Masauni alifanya kosa la jinai la kugushi vyeti vya kuzaliwa ambalo ni kosa vile vile kimaadili lakini ccm inampitisha kugombea ubunge!! Hizi double standards zinawasaidiaje hawa wenye chama na zinaleta picha gani juu ya serikali ya chama hiki kuweza kutoa haki sawa kwa raia wote?
ukiambiwa yai viza ukilipasua linanuka,
usilipasulie ndani!!! tehe tehe tehe !! hawa ccm wameoza wote
 
Naaam! Aliahidiwa kazi, nadhani hii ndo kazi ile iliyosemwa! Kesho kutwa ni mh. waziri ndani ya serikali ya muungano!!
 
Back
Top Bottom