Masauni apokelewa na Ubalozi wa Tanzania- Comoro

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro leo Agosti 13, 2024 umempokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Ubalozini na kusalimiana na watumishi.

Akiwa Ubalozini alipokea taarifa ya kituo na masuala ya Watanzania waishio Comoro. Waziri Masauni alipongeza juhudi zinazoendelezwa na Ubalozi katika kukuza mahusiano baina ya nchi hizo mbili.
 

Attachments

  • IMG-20240813-WA0080.jpg
    110.5 KB · Views: 3
Uku tumeambiwa askari jamii watapita kukagua mnuso ktk Kila nyumba itakayofanya shughuli bila kulipia elfu 50🤪🤪

CCM mbelee Kwa mbelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…