Mase arudi tena kwenye game ya hip hop

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,068
Ndugu wana JF

Habari zenu wakuu, nimepotea kitambo kwa threads zangu za kuwashika vilivyo. Yule mkongwe wa game asiyekamatika na style yake ya kurap ambaye aliamua kuwa mchungaji, amerudi upya na kibao chake kipya cha nothing. Aiseee ni noma mbaya, nimeamua kumrusha kwani ndiye ninayemkubali sana toka enzi hizo.

http://www.youtube.com/watch?v=CA7JmogXreU
 
Mase amerudishwa tena na puff daddy,aliacha mziki 99' akarudi tena 2004 akapiga kimya karudi tena 2014.
 
Avatar yangu ndiyo jina la mwana hip hop huyo anayeitwa mase. Pole sana mkuu, hiyo hip hop yako ya kitambo sijui ni ipi!!!
 
Jamaa wa kitambo sana alikua bad boys chini Sean Comb Pdidy sijajua ilitokea nini hadi akawa pasta ila nakumbuka kuna kipindi alisema i regretes to be a pastor instead of doing music. Jamaa anajua muziki you are most welcome again to the game.
 
Kazeeka nini???!!! Itafute ngoma mpya ya nothing, ndiyo ujue vizuri. Vimwana wamesheheni kwenye video mpaka raha
 
Jamaa wa kitambo sana alikua bad boys chini Sean Comb Pdidy sijajua ilitokea nini hadi akawa pasta ila nakumbuka kuna kipindi alisema i regretes to be a pastor instead of doing music. Jamaa anajua muziki you are most welcome again to the game.

Kuna wakati fulani alirudi tena na wimbo nahisi uliitwa welcome back.
 
Tena safari hii anakuja na album mpya
 
Kuna nyimbo aliimba na Brand,sitting in the top of world
 
INI Kamoze,Warene G and Nate Dog,Tony Braxton,Dar Bratt ilikuwa raha
 
Aisee inabidi aje na remix ya "welcome back". Maana kipindi kile alivopotea akarudi kimtindo na welcome back. This tyme inabid aje na remix yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…