killuminat
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 209
- 104
INI Kamoze,Warene G and Nate Dog,Tony Braxton,Dar Bratt ilikuwa raha
mbana pua tu yule ana style gan ya kutishaUnamjua ma$e au unamsikia?! Nani anamzidi ma$e kwa ku rap???
Hakuna mwana hip hop yeyote marekani ikiwezekana hadi nje ya marekani ana flow bila ku copy kwa mase.
"Ooh you know we need ya, ooh you know we need ya welcome back"
sijui walipatwa na nini,Mase mchungaji Loony Alhaji!Jamaa wa kitambo sana alikua bad boys chini Sean Comb Pdidy sijajua ilitokea nini hadi akawa pasta ila nakumbuka kuna kipindi alisema i regretes to be a pastor instead of doing music. Jamaa anajua muziki you are most welcome again to the game.
Acha kuchekesha jukwaa,unasema umefatilia Hiphop kitambo halafu humjui Mase?Ungekuwa karibu ningekunasa kibao
Wewe si wa kitambo!mase mzao wa akina pdidy,huyu akawa mchungaji na mwenzake loony sasa hivi bonge la shehe kule states si udevu huo!
Acha kuchekesha jukwaa,unasema umefatilia Hiphop kitambo halafu humjui Mase?Ungekuwa karibu ningekunasa kibao