Yahoo, Veta naenda sana, masecretary wako poa wao wao hukaa maofisini. Getini wanakaa walinzi, baada ya getini unapita ndani ndipo unakuta reception na wanaokaa hapo reception sio masecretary ni ma receptionist naomba kwanza rekebisha ndipo tuendelee'.nimepita ofisi ofisi nyingi sana lakini masekretari (reception)pale getin ni balaa dharau tupu,haswa dada mmojo mweupe ,mtotot lakini dharau tupu.Unaweza kuuliza swali tu la jibu dogo asikujibu eti hadi amalize shughuli zake au asikujibu,au akupe jibu la kijinga.wanakaa kubonyezana vijicho wanapoona mavazi ya masista wenzao na ujingakibao.acheni hizo!
ushnielewa bwana,:hat:Yahoo, Veta naenda sana, masecretary wako poa wao wao hukaa maofisini. Getini wanakaa walinzi, baada ya getini unapita ndani ndipo unakuta reception na wanaokaa hapo reception sio masecretary ni ma receptionist naomba kwanza rekebisha ndipo tuendelee'.