Hii itakuwa thread maalumu ya maselebu wa Bongo na familia zao. Kwa kuanzia naanza na wake wa mastaa wa kabumbu hapa Bongo, KARIBUNI.
Kiungo wa mtibwa sugar Abduharim Amour na familia yake
Wamkumbuka chifu Rumanyika? Hapa akiwa na mkewe
Kutoka kushoto ni mke wa kiungo wa Yanga Athumani Iddi "Chuji" na mke wa mshambualiaji wa zamani wa Simba Athumani Machupa anayecheza soka la kulipwa Sweden.