Maselebu wetu viwanjani weekend

Picha za Maselebu wa film wakila bata kwenye boat
weekend iliyopita kusherekea
Bday part ya Nice Chande







 


Hawa wana kila dalili kwamba WANASAGANA!!
 
Du,kweli nchi hii imejaa wavivu,wapenda starehe na fakhari za kifukara fukara
 
Wamependeza wananikumbusha marafiki zangu wa Kinubi wapo hivyo hivyo
 
huyo fide ni kimeo na hayo madude anayojipaka mh
 
Kama mwenyezi Mungu amemjaalia Irene tabia nzuri kama alivyo basi ni Mwanamke mzuri sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…