L LENGEJU BOB Member Joined Nov 1, 2010 Posts 53 Reaction score 29 Nov 1, 2010 #121 Hello jamii naipongeza serikali ya ccm kwa kuweza kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi! Asante mama demokrasia!
Hello jamii naipongeza serikali ya ccm kwa kuweza kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi! Asante mama demokrasia!
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Nov 1, 2010 #122 Mwaka huu kazi ipo sana tu. Nashukuru kwamba jana sikuwapigia mafisadi kura yangu.