Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
31 May 2021

MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI.



Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki.

source : E Digital
 
Kigugumizi cha nini kuhusu uonevu? Na anaposema pande zote mbili zinafanya mabavu ana maana gani? Kwani upinzani una polisi, jeshi na tume? Huyu naye ni popo tu asiye na msimamo
Hapo ndipo huwa nachoka kabisa. Mimi nilidhani utawala wa mwendazake ungewafundisha wanasiasa wote umuhimu wa vyombo vya usalama kutenda haki lakini bado wanajaribu kujitoa ufahamu kwa sababu wanataka kujipendekeza.... Hii ni hasara kubwa.
 
Mwendazake hana adabu. Amemnyanyasa sana huyu Masha. Lkn Masha anapata kigugumizi kufunguka.
 
Kwenye swali kuhusu mitungi!sijui alijibuje😂
Naona clip imeisha hapo

Ova
 
Masha mpiga dili mzuri sana, jamaa anajua kunusa fursa na kuitumia, bahati mbaya kwake alikutana na mtawala katili akamvurugia mipango yake.
Masha mtu wa ajabu sana, wenzake kama akina Mramba, Ngeleja, Yona hajui kwanini wako kimya? Ukila na ukashiba hakuna sababu ya kupayukapayuka!
 
Fursa zinatafutwa kwa nguvu....tujitahidi kuwaachia watoto urithi kichwani ili waweze kuwa mbele kwa kila hatua wengine wanayokanyaga..
 
Kati ya wote wanaoendelea kuongea... Huyu kafunika
images.jpg

😂😂😂😂😂😂
 
Huyu Mtangazaji naye au hajui fani yake, anatafuta kiki kwa kumpatia fursa mshikaji wake Lawrence Masha kujisafisha after the fact that FastJet is now dead and buried and totally irrelevant and nobody cares. Unamuhoji Masha sasa tena kwa kusikikilza upande mmoja, jee ulikuwa wapi wakati wa mgogoro kati ya management ya FastJet na Wafanyakazi wake miaka miwili mitatu iliyopita? Hii interview haiendani na maadili ya uandishi wa habari wa kuwapa fursa pande zote kutoa viewpoints, opinions, facts etc ili kuwa na balance kwenye habari.
 
31 May 2021

MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI.


Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki.

source : E Digital


"Jeradi Ando" umebuni kipindi kizuri sana,big up.
 
Back
Top Bottom