Baada ya Magufuli kuondoka wanaanza kujitokeza mmoja mmoja kama panya kujaribu bahati zao. Tatizo la siasa za Tanzania zimevamiwa na matapeli wengi kwani wananchi ni rahisi sana kudanganyika kwa maneno.Mjinga sn acha shirika life, si yupo CCM shida nini?
Hapo ndipo huwa nachoka kabisa. Mimi nilidhani utawala wa mwendazake ungewafundisha wanasiasa wote umuhimu wa vyombo vya usalama kutenda haki lakini bado wanajaribu kujitoa ufahamu kwa sababu wanataka kujipendekeza.... Hii ni hasara kubwa.Kigugumizi cha nini kuhusu uonevu? Na anaposema pande zote mbili zinafanya mabavu ana maana gani? Kwani upinzani una polisi, jeshi na tume? Huyu naye ni popo tu asiye na msimamo
Baada ya Magufuli kuondoka wanaanza kujitokeza mmoja mmoja kama panya kujaribu bahati zao. Tatizo la siasa za Tanzania zimevamiwa na matapeli wengi kwani wananchi ni rahisi sana kudanganyika kwa maneno.
Mpaka Alitoka CHADEMA na Kurudi CCM na Kumlamba Visigino MWENDAZAKEJamaa alipitia wakat mgumu sana
Masha mtu wa ajabu sana, wenzake kama akina Mramba, Ngeleja, Yona hajui kwanini wako kimya? Ukila na ukashiba hakuna sababu ya kupayukapayuka!Masha mpiga dili mzuri sana, jamaa anajua kunusa fursa na kuitumia, bahati mbaya kwake alikutana na mtawala katili akamvurugia mipango yake.
31 May 2021
MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI.
Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki.
source : E Digital
Ngoja wadau waje kumpa muongozo.Mambo yake muachieni mwenyewe...