Masha hajawahi kung'oa kitasa kwenye ofisi yoyote

Chifunanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
290
Reaction score
100
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake

QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
 
we will not accept fallacy statements..... nikuulize mtoa mada...kwani ACP Zombe alituhumiwa kwa mauaji yale ya wafanya biashara kwa kutumia mkono wake... ilitoa order wauwawe..... sasa kama Masha alin'goa vitasa kwa kuwatuma watu baki... ana haki ya kukana
 
Hao jamaa bwana! Ndo wakuja na tuhuma hawakuchakachua uchaguzi uliyopita na polisi walipingwa na wanachadema.
 
Samahani kidogo, kwenye hiyo nukuu ya Masha nilivyoisoma anaongea Kiswahili chetu hiki hiki kwa Kiswahili-Kiswahili au kwa Kiingereza-Kiswahili? Pengine waliokulia huko mamtoni ndivyo siku hizi Kiswahili mnavyokiburuza.

Sentensi hazijatulia kabisa, mtu unajilazimisha tu kujazilishia pengo ya kwamba labda alitaka kusema hivi.

Halafu tukirudi kwenye mada yenyewe, hili la waziri wa zamani kujadili masuala ya milango ya watu ndio imekaeje tena mbona sielewi?
 
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake

QUOTE: " Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! "

angeendelea tu kupotezea. Donda lishaanza kukauka yeye analichokonoa.
 
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake

QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"

Amekutuma ulete hiyo taarifa! Maana hajawai ...popote pale kwanini hasingesema hakungoa kitasa katika ofisi ya Mbunge wa nyamagana!! au nyamagana ndio popote pale
 
Hafai kuwa mwenyekiti wa mtaa au balozi wa nyumba kumi wa ccm-hii ni aibu kubwa waziri unatoa vitasa?
 
mmh.. yaani toka wakati ule ndio leo amekumbuka kuwa 'hajawahi kutoa kitasa popote pale"?
 
hata ukitumia authority yako kumagiza mtu atoe bado unawajibika,unless kukanusha kuambatane na maelezo ya what happened there
 
Pamoja na hayo yote, he is no longer the Minister kama anavyojiita kwenye FB profile yake. Hataki kukubali kuwa he is just mjasiriamali wa kawaida tu na kijikampuni cha IMMA? hiyo ya kitasa ukweli anao mwenyewe kama alingoa mwenyewe au alituma mafundi wakafanye bomoa bomoa hiyo. The guy is under :frusty:........
 
chuki za nn jamani, huyu jamaa keshakufa kifo cha mende tumuacheni na mambo yake
 
waziri aliyepita, masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia fb page yake

quote: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"

hana lolote wanajifanya wana misemo ya kiswahili kudanganya watu,,,,,,,,,,tatizo ni rahisi wetu kutoa vyeo kwa watu wake kwa fadhila na kujuana mapaka anawapa wahuni uwaziri
tena wa mabo ya ndani kisa yupo na mwanawe sehemu moja ya kazi,,,,,
 
hahaha, kiongozi nimekusoma...issue ni kwamba ni kweli hajawahi kung'oa kwa mkono wake....ila kitasa kiling'olewa, kwa hiyo basi walaumiwe waliong'oa kitasa na siyo yeye. Nawakilisha tuu wakuu wangu

we will not accept fallacy statements..... nikuulize mtoa mada...kwani ACP Zombe alituhumiwa kwa mauaji yale ya wafanya biashara kwa kutumia mkono wake... ilitoa order wauwawe..... sasa kama Masha alin'goa vitasa kwa kuwatuma watu baki... ana haki ya kukana
 
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake

QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"

kama siye yeye alieng'oa vitasa ni nani? basi aliyeng'oa mbona havikung'olewa wakati yeye yupo kwenye madaraka?
 
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.

Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake

QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
Hatimaye Masha Kapata agent wa kumsafisha. Jitahidi utafanikiwa
 
hahaha, kiongozi nimekusoma...issue ni kwamba ni kweli hajawahi kung'oa kwa mkono wake....ila kitasa kiling'olewa, kwa hiyo basi walaumiwe waliong'oa kitasa na siyo yeye. Nawakilisha tuu wakuu wangu
Viongozi wilayani Nyamagana walipoulizwa walisema vitu vyote vilivyokuwemo ni vya mbunge aliyepita, hivyo ni haki yake kuchukua ( Note: halikuwepo tukio la wizi bali ni mhe. aliyepita alikuwa anahamisha vitu vyake binafsi)
 
Back
Top Bottom