Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 100
we will not accept fallacy statements..... nikuulize mtoa mada...kwani ACP Zombe alituhumiwa kwa mauaji yale ya wafanya biashara kwa kutumia mkono wake... ilitoa order wauwawe..... sasa kama Masha alin'goa vitasa kwa kuwatuma watu baki... ana haki ya kukana
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.
Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake
QUOTE: " Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! "
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.
Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake
QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
waziri aliyepita, masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.
Source ni yeye mwenyewe kupitia fb page yake
quote: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
we will not accept fallacy statements..... nikuulize mtoa mada...kwani ACP Zombe alituhumiwa kwa mauaji yale ya wafanya biashara kwa kutumia mkono wake... ilitoa order wauwawe..... sasa kama Masha alin'goa vitasa kwa kuwatuma watu baki... ana haki ya kukana
Waziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.
Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake
QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
Hatimaye Masha Kapata agent wa kumsafisha. Jitahidi utafanikiwaWaziri aliyepita, Masha, amesema kuwa hakung'oa kitasa kama magazeti yanavyoandika.
Source ni yeye mwenyewe kupitia FB page yake
QUOTE: "usiwe haraka sana kumhukumu mtu! Ukimya wa mtu hauna maana kwamba hauna la kusema! Sijawahi kungoa kitasa popote pale! Uzalendo wangu historia itakuja kunihukumu!"
Viongozi wilayani Nyamagana walipoulizwa walisema vitu vyote vilivyokuwemo ni vya mbunge aliyepita, hivyo ni haki yake kuchukua ( Note: halikuwepo tukio la wizi bali ni mhe. aliyepita alikuwa anahamisha vitu vyake binafsi)hahaha, kiongozi nimekusoma...issue ni kwamba ni kweli hajawahi kung'oa kwa mkono wake....ila kitasa kiling'olewa, kwa hiyo basi walaumiwe waliong'oa kitasa na siyo yeye. Nawakilisha tuu wakuu wangu
Hatimaye Masha Kapata agent wa kumsafisha. Jitahidi utafanikiwa