Jamani napenda kujua huyu mwanasi-hasa aliyefulia hivi sasa yuko wapi na anafanya nini?
]Sina taarifa[/COLOR] ya huyu bwana tangia kupigwa chini na wana Rock City. Nasikia kawa mshauri wa JK wa masuala ya sheria
kashapotea kwenye ulimwengu wa siasa!
Mkuu also to add on top of that financially jamaa yuko well off kwa muda ambao alikuwa serikali kuna mtu ameniambia Masha ame-benefit na kutengeneza hela ya kutosha kwenye mradi wa National ID'S pia ule mradi wa LESENI MPYA ZA MADEREVA pia ana ranch kubwa sana kule Kibaha.guYS,
I THINK WE ARE TOTALLY LOST HERE
ANAEZA AKAWA AMEANGUKA KISIASA BUT HIS LIFE IS DOING WELL KWANI AMEREJEA KWENYE FANI YA SHERIA, NDIO MAANA SIKU ZOTE NI VYEMA TUWE NA ELIMU NA FALL-BACK POSITIONS
NAJARIBU KUFIKIRIA ANNE MAKINDA AU SOPHIA SIMBA WAKLIANGUKA WATAKUA NANI
IMMMA ADVOCATE WANAENDELEA VIZURI TU NA PESA YA KULA IPO
A sit back is a set up for a major come backNILIKUTANA NAE tanganyika library alikuwa anasoma kitabu kimoja cha JACOB ZUMA kinaitwa BOUNCING BACK