Masha alimuudhi sana JK kwa kushindwa ubunge while ana dola.
Yupo tele Masha mjini hapa. Kama unashida nae nenda rose garden ndoo bar yake. Anadunda tu sidhani kama anataka vyeo kwa sasa yupo busy na biashara zake
Nahisi yuko mamtoni au safari yake kisiasa imeshafika mwishö.Tulisubiri aukwae ukuu wa mkoa wa simiyu au geita lkn hakupata nafasi.Angalau ukuu wa wilaya basi lakini wola! Ubalozi basi,lkn wola.Angalau ajitokeze kwenye matukio makubwa kama mazishi ya S.K ili kuonyesha kwamba bado yupo na ikifika 2015 ajitokeze kuchukua jimbo lake la nyamagana.Au alipojeruhiwa na wenje aliumia na kuamua kuachana na siasa uchwara za magamba?
Ama hakika nimeamini kweli usicheze na raia wa tz ukifeli wanakujambia usoni!Eti anajiita msomi anadiliki mpaka kun'goa vitasa vya milango na mabenchi kisa kashindwa na mhe wenje kibaya zaidi mpaka asili ya kwao wamemkataa kweli rudi ukazoe taka siasa waachie wenyewe na hiyo ndo miccm rudi kundini utubu utasamehewa 2
Ni kama Msanii Mr.Nice kwenye Bongo fleva.
Potezewa mbali kule.
Alafu rekebisha lugha hapo.
Sio mbunge aliyemaliza muda wake bali ni mgombea aliyetoswa na wananchi.
Mr nice kapiga show Geita juzi jumamosi tarehe moja maeneo ya Mwatukole kwa kiingikio cha buku 3.
Jamaa kachoka saana halafu hata afya ni tatizo! Sijui Mwalukanga!