Masha yuko Njema sana

Salimia

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
665
Reaction score
103
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................
 
Nyepesi nyepesi zinasema amepangiwa ukuu wa mkoa Dar. nasikia wanatangazwa anytime
 
Are you HIS mistress??
 
Umejitwika jukumu la kumsafishia nyota siyo?
 
u sound like u are in love with him
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii
 
Mtake radhi Salimia,ni 'SHE' na tuko nae muda labda haonekani Jukwaa hili la Siasa.Nilikutana na Masha kwenye gereji Msasani ni kweli yuko happy.
Bora umesema wewe. Kuna watu wana wivu na Masha utafikiri kawachukulia wake zao. Masha is a great politician take or leave it
 
to be honest

he is missing power
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

ile biashara yako ya lonely women imeishia wapi?
 
Reactions: BAK
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

Kama JK ameweza yeye hatashindwa.......ila kupata u-Rais is one thing na kuwa RAIS is another
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

Anapendwa au unampenda? ajali gani alipata zaidi ya kukataliwa na ndugu zake wa Mwanza!!?
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

Ukweli kuhusu maisha ya Masha unatuhusu nini kama Watanzania!? Ulifanya research lini ili kukusanya data kwamba bado ana mvuto kwenye jamii? Mambo ya Masha hayatuongezei tija yoyote Watanzania tafuta mahala pa kuyapeleka sio hapa jamvini.
 
So what!!??
Kwani zama hizo akiwa tensi alkua kalazimishwa!!??
Halafu......Kakutuma uje utuambie???
 
Reactions: BAK
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

watanzania wote wakiwa na kichwa kama chako
then masha ni nelson mandela wa tz lol
 
Lengo lako kuleta hii ni nini?!!
Unamfanyia kampeni au!!! Ile ngumi aliyotwanga na yule mwanahabari amepona na kuweka meno ya spare! Haya hutaki tujue eti
 
he!! yamekuwa hayo? tusiseme ukweli?? Masha ni mwanasiasa anayependwa ila ni ajali ya kisiasa tu ilimkuta. Bado ana mvuto kwenye jamii na anaweza kuwa Rais mwenye mashiko sana kwa nchi hii

mbona hueleweki

mara sasa hivi yupo happy na free, mara anaweza kuwa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…