Habari Wakuu ,kweli madhabiki wa simba ni watu wa hovyo tu kwa sababu
Siku simba ikofungwa basi wanaanza lawama either kwa viongozi or wachezaji
Siku timu ikishinda basi wanasahau matatizo yao ya timu
Kwa machache hapo nadhani yametosha ,sitaki matusi yenu Bali pinga kwa hoja