Mashabiki, bado 'Try again' na Mangungu hamuwataki au ilikuwa presha tu ya kukosa matokeo?

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Wakuu,

Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club.

Baada ya Simba kupitia kipindi kigumu cha kuangusha pointi katika michezo kadhaa ya ligi na mashindano ya kimataifa basi kelele zikawa nyingi kwamba wazee hao wawili wang’atuke madarakani.

Jambo lililonishangaza ni kwamba walikuwa wanalazimishwa Mangungu na Try Again wajiweke kando lakini ndugu mwekezaji ambaye ana umiliki wa asilimia 49 za hisa za klabu hiyo hakuwa katika shinikizo lolote la kuambiwa naye ang’oke.

Huyu naye kimsingi alipaswa kuwajibishwa kipindi kile cha vuguvugu la kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu kwa vile ndiye ana wajibu wa kuiwezesha Simba kiuchumi hivyo kama kuna mambo hayaendi sawa hasa yanayohusu fedha basi naye anatakiwa kuwajibika.

Lakini ndio hivyo sisi mashabiki wa soka la Bongo huwa ni wazito kumwajibisha tajiri na hata tukibaini amekosea basi tutaangalia wanyonge ni kina nani kisha tunaanza kuwashughulikia.

Hata hivyo, baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi na kumleta Abdelhak Benchikha na jopo lake, mambo yanaonekana kuiendelea vyema hivi sasa kwa ndani na hata kimataifa tangu kocha huyo alipoanza kazi.

Timu imepoteza mechi moja tu chini ya Benchikha na imeshinda mbili huku ikitoka sare moja na inapiga mpira mwingi na wachezaji baadhi ambao walionekana wamechemsha ni kama wanafufuka upya kutokana na kiwango bora ambacho wamekuwa wakikionyesha.

Na inapofanya vizuri, zile kelele ambazo zilishamiri kutoka kwa wanasimba walio wengi za kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu hazisikiki tena na wote sasa hivi wanatamba na Simba yao huku sifa nyingi zikielekezwa kwa Benchikha.

Kumbe lile shinikizo halikuwa la dhati bwana bali lilitokana na hasira za matokeo yasiyoridhisha, leo timu inashinda wote wako kimya wanajisifia tu na timu yao.
 
Mashabiki wa hii timu awajielewi, kilio Cha kumkataa mangungu kilizimwa baada ya kuletewa benchikha na walipoifunga whdad wakamsamehe mangungu, lakini baada ya kutoa SARE na kmc zikasikika Tena kelele za mangungu atuachie timu yetu atumtaki Sasa uwezi kuelewa Hawa wafuasi wa Rage msimamo wao ni upi!?
 
Kama yeye anatoa hela halafu viongozi wanaenda sajili akina sawadogo ,yeye afanyaje hapo ...
Mfano glazzer wanatoa hela ,halafu ten hag analeta akina Anthony ajax Tena kwa 100...tuwalaumu Tena glazzer?

Tajiri ananiuzi kususa susa...
 
Wakuu,

Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club.

Baada ya Simba kupitia kipindi kigumu cha kuangusha pointi katika michezo kadhaa ya ligi na mashindano ya kimataifa basi kelele zikawa nyingi kwamba wazee hao wawili wang’atuke madarakani.

Jambo lililonishangaza ni kwamba walikuwa wanalazimishwa Mangungu na Try Again wajiweke kando lakini ndugu mwekezaji ambaye ana umiliki wa asilimia 49 za hisa za klabu hiyo hakuwa katika shinikizo lolote la kuambiwa naye ang’oke.

Huyu naye kimsingi alipaswa kuwajibishwa kipindi kile cha vuguvugu la kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu kwa vile ndiye ana wajibu wa kuiwezesha Simba kiuchumi hivyo kama kuna mambo hayaendi sawa hasa yanayohusu fedha basi naye anatakiwa kuwajibika.

Lakini ndio hivyo sisi mashabiki wa soka la Bongo huwa ni wazito kumwajibisha tajiri na hata tukibaini amekosea basi tutaangalia wanyonge ni kina nani kisha tunaanza kuwashughulikia.

Hata hivyo, baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi na kumleta Abdelhak Benchikha na jopo lake, mambo yanaonekana kuiendelea vyema hivi sasa kwa ndani na hata kimataifa tangu kocha huyo alipoanza kazi.

Timu imepoteza mechi moja tu chini ya Benchikha na imeshinda mbili huku ikitoka sare moja na inapiga mpira mwingi na wachezaji baadhi ambao walionekana wamechemsha ni kama wanafufuka upya kutokana na kiwango bora ambacho wamekuwa wakikionyesha.

Na inapofanya vizuri, zile kelele ambazo zilishamiri kutoka kwa wanasimba walio wengi za kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu hazisikiki tena na wote sasa hivi wanatamba na Simba yao huku sifa nyingi zikielekezwa kwa Benchikha.

Kumbe lile shinikizo halikuwa la dhati bwana bali lilitokana na hasira za matokeo yasiyoridhisha, leo timu inashinda wote wako kimya wanajisifia tu na timu yao.
Ngoja waje wakuporomoshee matusi ya nguoni!
 
Yanga wapo kijiweni kwao wanapoga soga, ngoja tuwaache tusiwaingilie
 
Dah mimi bado sina imani nao kabisa

Najua na kwenye huu usajili watatuletea magarasa tu

SIWAAMINI KABISA
 
We tulia Bado wako kwenye uangalizi kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili
 
Wakuu,

Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club.

Baada ya Simba kupitia kipindi kigumu cha kuangusha pointi katika michezo kadhaa ya ligi na mashindano ya kimataifa basi kelele zikawa nyingi kwamba wazee hao wawili wang’atuke madarakani.

Jambo lililonishangaza ni kwamba walikuwa wanalazimishwa Mangungu na Try Again wajiweke kando lakini ndugu mwekezaji ambaye ana umiliki wa asilimia 49 za hisa za klabu hiyo hakuwa katika shinikizo lolote la kuambiwa naye ang’oke.

Huyu naye kimsingi alipaswa kuwajibishwa kipindi kile cha vuguvugu la kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu kwa vile ndiye ana wajibu wa kuiwezesha Simba kiuchumi hivyo kama kuna mambo hayaendi sawa hasa yanayohusu fedha basi naye anatakiwa kuwajibika.

Lakini ndio hivyo sisi mashabiki wa soka la Bongo huwa ni wazito kumwajibisha tajiri na hata tukibaini amekosea basi tutaangalia wanyonge ni kina nani kisha tunaanza kuwashughulikia.

Hata hivyo, baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi na kumleta Abdelhak Benchikha na jopo lake, mambo yanaonekana kuiendelea vyema hivi sasa kwa ndani na hata kimataifa tangu kocha huyo alipoanza kazi.

Timu imepoteza mechi moja tu chini ya Benchikha na imeshinda mbili huku ikitoka sare moja na inapiga mpira mwingi na wachezaji baadhi ambao walionekana wamechemsha ni kama wanafufuka upya kutokana na kiwango bora ambacho wamekuwa wakikionyesha.

Na inapofanya vizuri, zile kelele ambazo zilishamiri kutoka kwa wanasimba walio wengi za kutaka Mangungu na Try Again wajiuzulu hazisikiki tena na wote sasa hivi wanatamba na Simba yao huku sifa nyingi zikielekezwa kwa Benchikha.

Kumbe lile shinikizo halikuwa la dhati bwana bali lilitokana na hasira za matokeo yasiyoridhisha, leo timu inashinda wote wako kimya wanajisifia tu na timu yao.
Shabiki gani wa Simba ana imani na Jaribu Tena?
 
Kama mashabiki wa Man U mpaka Leo wanahangaika kuwaondoa wamiliki wa timu (Glaza family), wa Simba ndio wataweza na ugoigoi wao.
 
Mashabiki wa hii timu awajielewi, kilio Cha kumkataa mangungu kilizimwa baada ya kuletewa benchikha na walipoifunga whdad wakamsamehe mangungu, lakini baada ya kutoa SARE na kmc zikasikika Tena kelele za mangungu atuachie timu yetu atumtaki Sasa uwezi kuelewa Hawa wafuasi wa Rage msimamo wao ni upi!?
Huwezi changia tu hoja bila kuweka hizo kauli za hakina Rage? Kwanza Rage ni nani hadi kila hoja imuhusishe? Mbona wapo tu wengi kama unataka kurejea kauli zao?
1.Hers. (Mashabiki wa Yanga ni Wala mihogo tu)
2.Luc Eymael (Mashabiki wa Yanga Mnabweka kama
manyani)
3.Haji Manara ( wenye akili Yanga ni wawili tu)
4. Haji Manara ( Viongozi na Mashabiki wa Yanga nguo zenu za ndani a.k.a vyupi vimejaa vinyesi)
5. Jerry Muro ( Mashabik wa Yanga wengi wao ni mafukara )
 
Lazima Rage ahusishwe kwa maana chimbuko la kauli yake ndiyo inayoleta yote ayo ndani ya Simba, wanachokifanya viongozi wanajua wanawaongoza viumbe wa aina Gani na wanajua wawachekeche vipi ili mkae kimya na yanapita, mambo yakiharibika wanajua wawashikeje akili zenu zisome 0 brain! Kwa maana iyo uwezi kutenganisha kauli ya Rage na IQ zenu aliziona mapeme yule ni mtu mzima!
 
Mimi siwaelewi kabisa.Sidhani kama wanafaa kuiongoza timu kwa sasa.Ni kama timu imekuwa kubwa mno kwao.Wana mawazo mgando,na hawastahili kuvumikiwa.
 
Back
Top Bottom