Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Nimekoma mbona ushabiki mwingine mtu unaeza poteza uhai wako hivihivi. Kuna siku geita kulikua na mashindano ya mpira kati ya geita A na geita B walikua wanachezea pale katoro! Sa mi kujifanya shabiki damu shabiki namba moja wengine wakasome kwanza. Mi si nikawa nashangilia geita B bwana!!
Sa mi mpira napenda sanaaaaaaa tena sanaaaaaaaaaaaa tu na kwenye mechi zozote kukaa sehemu moja siwezagi ntajizungusha weeee uwanja mzima utajua nimekuja uwanjani.( lakini sikuhizi nimekua sana sifanyi hivo )
Sasa katika zunguka zunguka bila ramani nikajikuta nimekaa sehemu moja hivi kwa mashabiki wengiii. Mpira ukachezwa ukachezwa si geita B tukafunga bana kumbe pale kulikua na mashabiki wa geita A . Goli lilipoingia nilishangiliaaaaaaaaaaa ajajajajajajanajajajajajaja aisee nilisikia bongesa la mjiwe mgongoni kubhuu! sijataka hata kugeuka si mi shabiki nikajua tu hawa si wenzangu hawa kimya kimya nikaondoka hata kabla mechi haijaisha nipofika nikamwambia mdogo wangu dogo hebu njoo uniangalie hivi spinal cord bado ipo kweli ? na tangu siku hiyo uwanjani nashangilia kimya kimya naangalia upepo kwanza afu badae ndo natoa sauti kwenda sijaacha wala nene!
Na hivi jana tu sehemu nyingine mkoa mwingine uwanja mwingine kulikua na fainali michuano ya football kikata. Ilipoisha washindi wakachukua zawadi zao kama kawa. Baada ya hapo wakaanza ma bodaboda bana si wakaanza kuzunguka uwanjani kila mmoja na mbwembwe zake wakitambiana kwa kuoneshana ujuzi wengine wamepakizana wamesimama juu ya pikipiki wengine wamechuchumaa wengine wamelala wengine wameinama wengine wamezilaza wengine wanaziyumbisha wengine wanazinyanyua juu tairi la mbele wengine la nyuma . Wao wapo kati pembeni watu kibao tumewazunguka
Kuna mmoja katika kumbwembweka sijui nini kikakatika aiseee walivaana hapo mpaka huruma ndo baadhi yao kupelekwa hospitali roho zikiwa mkononi kisa tu ushabiki
Be careful friends too much ushabiki is hatari kwa maisha yako. maisha bado matamu tena matamu sana.
Loving is caring.
Mmmmmmmuuaaaaaaaaahhhhhh!