Mashabiki na Ubiingwa wa Chelsea

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Kumbe na Bongo nasi tumo tungekuwa na uzalendo na upenzi huu kwa timu zetu za hapa nyumbani ingekuwa jambo la mbolea sana, Anyways hongereni Chelsea kwa kunyakua ubingwa wa England.











 
ubingwa wa kununua!!!!!! ahaaaaaaaaaaaa,magoli nane----------------ahahaaaaaaaaa, maajabu haya----------mambo ya check hayo
 
kumbe na hao walikuwa wanashangilia mpira kwa style ya mduara
 
wabongo bwana hamkosagi cha kusema. Chelsea imetoka kidedea mshaanza ooh wamenunua . kubalini yaishe....and yes 8goals.
 
Kama hamuwezi ku score kama sisi msilete visingizio ooo mechi wamenunua, sijui wamefanya nini hilo ndo soccer la darajani nyieeee
 
Babu FERGIE kafulia, dozi za Chelsea hazikuwa za mchezo! King Carlo mwenyewe anakubali kwamba ubingwa umetokana na kumfunga MAN UTD round zote 2!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…