Mashabiki ni kama wajumbe tu, hali ilivyo ndani ya uwanja wa mkapa mpaka sasa

Mashabiki ni kama wajumbe tu, hali ilivyo ndani ya uwanja wa mkapa mpaka sasa

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kasi ya mashabiki kuingia ndani ya dimba la Mkapa bado ya kusuasua mpaka muda huu viti karibia asilimia sitini viko wazi.

Haijafahamika tatizo nini lakini baadhi ya mashabiki wanasema muda bado Dimba litatapika tu acha tusubiri tuone PANAPOVUJA.

png_20230722_141951_0000.jpg
1629fd6bffec492095dde86b3db758ef_361648841_18228292753226150_2685392131066078049_n.jpg
dc3128d8d8794cd690055108e73f0b44_361561945_18228292762226150_8735637564935906235_n.jpg
91723b441ee243a8a543caf3e4defa98_362275423_18228292771226150_3177769936206996839_n.jpg
 
Hakika Yanga ni timu kubwa. Hakuna timu ndani ya hii nchi yenye uwezo wa kuweka kiingilio cha 10,000 mpaka 500,000! Na bado ikajaza uwanja.

Ni Yanga peke yake ndiyo ana jeuri hiyo.
 
Hakika Yanga ni timu kubwa. Hakuna timu ndani ya hii nchi yenye uwezo wa kuweka kiingilio cha 10,000 mpaka 500,000! Na bado ikajaza uwanja.

Ni Yanga peke yake ndiyo ana jeuri hiyo.
Hivi yanga princess walishalipwa tayari
 
Hakika Yanga ni timu kubwa. Hakuna timu ndani ya hii nchi yenye uwezo wa kuweka kiingilio cha 10,000 mpaka 500,000! Na bado ikajaza uwanja.

Ni Yanga peke yake ndiyo ana jeuri hiyo.
Hii nguvu mashabiki wa yanga mngekuwa mnatumia kupambana na CCM hakika Bandari yetu isinge uzwa.
 
Back
Top Bottom