Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
We fala sindio ulijiita US Alger hakuna mwananchi mjinga mjinga kama wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm ni YANGA ila simba mmetunyoosha
Weka picha za sasa hivi saa 11Kasi ya mashabiki kuingia ndani ya dimba la Mkapa bado ya kusuasua mpaka muda huu viti karibia asilimia sitini viko wazi.
Haijafahamika tatizo nini lakini baadhi ya mashabiki wanasema muda bado Dimba litatapika tu acha tusubiri tuone PANAPOVUJA.
.
.
.
.
#solomatv_updates View attachment 2696050View attachment 2696051View attachment 2696052View attachment 2696053
Hivi yanga princess walishalipwa tayariHakika Yanga ni timu kubwa. Hakuna timu ndani ya hii nchi yenye uwezo wa kuweka kiingilio cha 10,000 mpaka 500,000! Na bado ikajaza uwanja.
Ni Yanga peke yake ndiyo ana jeuri hiyo.
Nakazia swali kwa kumuongeza na Luc EymaelHivi yanga princess walishalipwa tayari
Princess anapowatetea ma-princess wenzakeHivi yanga princess walishalipwa tayari
Hii nguvu mashabiki wa yanga mngekuwa mnatumia kupambana na CCM hakika Bandari yetu isinge uzwa.Hakika Yanga ni timu kubwa. Hakuna timu ndani ya hii nchi yenye uwezo wa kuweka kiingilio cha 10,000 mpaka 500,000! Na bado ikajaza uwanja.
Ni Yanga peke yake ndiyo ana jeuri hiyo.
Huku sasa ni kupangiana maisha.Hii nguvu mashabiki wa yanga mngekuwa mnatumia kupambana na CCM hakika Bandari yetu isinge uzwa.