Mashabiki Simba Bukoba, wamzawadia Ndemla fedha na mikungu ya ndizi

Mzee Lage akiwaiteni Mbumbu mnarusha ngumi, sasa hapo mkungu wa ndizi uko wapi hapo!!!? Khaaa!...
 
Sikuizi maana ya mkungu wa ndizi imebadilika kumbe?
 
Yanga lini mtamzawadia huyu fundi wa nchi. Ndemla ni tunu ya Taifa,mpongeze bila kujali unazi
 
Yani uwepo wa timu ya SIMBA hapa TANZANIA ni sawa na uwepo wa SHETANI duniani.....taaaabu tupu.
 
Hivi watu hamjamuona huyo cheupe pembeni...?? Me ningekuwa ndemla ningemuomba usiku mmoja tu.
 
Mishabiki ya simba haina mazoezi...mi nyama uzembe
 
Kwa kwali sijui kwanini Simba walimchukua huyu jamaa..
Tulimchukua ili kuizohofisha yanga kwakua wakichukua mchezaji wetu muhimu,,, hii michezo anacheza sana morinho,, ternique ndani na nje ya uwanja... lkn mda bado huyu jamaa atakuja kutupa faida yu ata kidogo
 
ndemla mbona hana afya huyo hata upepo unampeperusha
Ila anapiga mashuti vibaya nje ya box

Sijaona mchezaji mwenye uwezo wa kupiga mashuti nje ya box kama ndemla na umbo lake dogo wengi hawana uwezo wa kupiga mashuti ,yupo vizuri ndemla na uwembamba wake
 
Tunashukuru, huo ndiyo ushabiki na mapenzi dhati. Mliotuwakilisha huo twasema mzidi kubarikiwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…