OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuwapiga wakongo waliojichokea nako anapiga pasi kweli?
Mbumbumbu bhana jilipe kwanza usije kufa njaa
Kuwapiga wakongo waliojichokea nako anapiga pasi kweli?
Mbumbumbu bhana jilipe kwanza usije kufa njaa
bado tumpe Muda.
Hajafikia hata uwezo wa Bernad Morrison...let alone Emmanuel Okwi.
Halafu kwa makusudi unamwacha baba wa long balls PAUL SCHORES.Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.
Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
Yes Paul Scholes wa Man U naye fundi wa hizo pinging balls.Halafu kwa makusudi unamwacha baba wa long balls PAUL SCHORES.
Eti Paul Pogba wa JUVE.
Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.
Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
Xabi nilimsahau huyu mwamba.Xabi Alonso na Paul Scholes
Unamwachaje fabregas Yule anaechipukia kuanzia 2006Mimi si shabiki wa Simba FC lakini hizo long pinging balls kanikumbusha Andrea Pirlo, Paul Pogba wa Juve, Kevin Debruyne au Van Dijk, Henderson, Fabinho na Trent Alexander Anold (TAA) au kiasi chake Joel Matip akiwa fit.
Kwa wale wakongwe tunawakumbuka akina David Beckham.
Huyo fundi nay yumo kama fundi mwingine Jorginho aliyeletwa na Sari pale Chalsea.Unamwachaje fabregas Yule anaechipukia kuanzia 2006
Kuna hoja ya msingi katika changio lako.
Ni kweli kuwa mechi dhidi ya klabu inayoshika nafasi ya 6 kwenye ligi dhaifu kama ya Burundi bado sio kipimo sahihi cha ubora wa mchezaji. Sasa itatupasa kumngoja mpaka akipiga hizo pasi huko "Nangwanda Sijaona".