Mashabiki wa Al Ahly tujuane mapema

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa Africa na simba ndyo timu pekee Africa mashariki kushiriki. Kwa mujibu wa CAF derby bora afrika ni al Ahly vs Simba. Na YANGA vs zalan FC.

Lengo letu al ahly ni kufumua timu zote zilizo kwenye kundi letu hasa wale nzi wa kijani kwa ushindi mnono

Kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL AHLY [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]


Habib habib


Mchawi karaba hat trick kwa mkapa lazima
Usiyempenda kaja anakaba mpka kivuri anamuogopa kanoute tu afrika hii
 
Aaahaaaaa

Tumemtuma Hersi kwa Madiba aende akaonane na uongozi wa Mamelodi Sundowns ili ajifunze jinsi kumfunga huyo mwarabu koko nje ndani

 
1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?

2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 27% mje mtafutane leo?

NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!

Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.

NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO KAMA KAWAIDA YENU MWAKAROBO FC
 
Kumbuka una uzi maalumu wa Mashabiki wa El Marekh na umeutelekeza hauna hamu hata wa kuona ,ngoja ninywe chai niufufue kutoka maktaba..
Mwamba, kumchambua vizuri huyu Carasco Putin weka link ya huo uzi wake hapa, tumuone anavyohamahama kahaba wa timu za soka huyu..!!
 
Aaahahhaa

Wajifunze kwa wanaojua
 
Walishatokea mashabiki wa Rivers, Marumo Gallants, Monastir, Club Africaine mpaka wa USM Alger. Waulize hao waliambulia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…