Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.
Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono
kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKH
Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono