Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Yanga ni ya 18 kwenye rank ya CAF huku Al Merrikh ni ya 27Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.
Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono View attachment 2744801
View attachment 2744802
View attachment 2744803
View attachment 2744804kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKH
Unabishana na hili jamaa msimu uliopita wakati Yanga inashiriki shirikisho alibadirisha I'd mpaka akachoka na wote walipigwa hili ni sukule letu la bahati likianza hivi ujue tunawika balaa na msimu huu.Yanga ni ya 18 kwenye rank ya CAF huku Al Merrikh ni ya 27
Unabishana na hili jamaa msimu uliopita wakati Yanga inashiriki shirikisho alibadirisha I'd mpaka akachoka na wote walipigwa hili ni sukule letu la bahati likianza hivi ujue tunawika balaa na msimu huu.
Wewe jamaa huishiwi vituko![emoji23]
Mechi liniKaribuni Rwanda habib habib [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mechi lini
Mechi za kuangalizia Fish Market izi.Jumamosi 16 save date mida ya saa 10 jioni
Ila hawa Yanga anapita kweupe kabisa
Mechi za kuangalizia Fish Market izi.