Mashabiki wa Alikiba siyo real, ni maadui wa Diamond – Mama Ashura

Kwanza we shabiki maandaz tu unafata upepo hujui Kati ya domo na Wema nan aluepigwa chini.. Domo ndo alipigwa chini halaf hujajibu swali la huyo uliemquote amekuuliza VP nyie mashabiki wa diamond mnaomchukia kiba??
Mosi, unatakiwa kujiheshimu. Huwezi kukurupuka from nowhere na kuanza kuita watu majina unayojua wewe! Tusitafutieni balaa hapa kwa sababu, usipoweza kujiheshimu, trust me, hutopenda kuufahamu upande wangu wa pili!!

Pili, hoja haikuwa mashabiki wa Kiba kumchukia Diamond au mashabiki wa Diamond kumchukia Kiba! Hoja ni haters wa Diamond!!

Mtu anaweza kuwa shabiki damu wa Kiba lakini asiwe hater lakini pia anaweza asiwe shabiki wa Kiba na akawa ndie hater namba moja! Kwahiyo hoja na maswali yako au swali ulilosema nijibu havina msingi kwa sababu hakuna niliposema mashabiki wa Kiba ni haters bali "mashabiki" wa Kiba! Kwa makusudi neno mashabiki nililiwekea kifungua na kifunga semi kuonesha sio real Kiba fans bali ni haters tu wanaojifanya ni mashabiki wa Kiba!

Kwamba ni Wema ndie alimtema Diamond suit yourself, endelea kujifurahisha!!!
 
Kampeni gani unazungumzia?Ebu jaribu kuwa muwazi Diamond ameshapigiwa kampeni kwenye tuzo mbalimbali hata hizi za sasa hivi nenda instagram ukashuhudie
Siwezi kurudia mara mbili kwa jambo ambalo nilishaongea few hours ago! To please yourself, endelea kujifurahisha kwamba Kiba ana mashabiki kibao wakati statistics zinamkana!!!
 
Kukaa unadiscuss mawazo za ashura ni kujishushia uwezo wa kureason
 
U
UMEONGEA UKWELI MTUPU KABISAAAAA,NA NDO MANA HATA MSANII WANAYEMUONGELEA KUTWA NI DIAMOND NA PAGE ZAO KAJAA YEYE NA FAMILIA YAKE


BY THE WAY BEEF HILI LA KIBA IIMEMSAIDIA SANA KUPATA HELA YA MBOGA
 
Siwezi kurudia mara mbili kwa jambo ambalo nilishaongea few hours ago! To please yourself, endelea kujifurahisha kwamba Kiba ana mashabiki kibao wakati statistics zinamkana!!!
Bado hujajibu hoja.Kabla ya diamond kutoka mashabiki wa Alikiba walikuwa haters wa nani?Hebu nifungue halo
Note[emoji815] sio first love kwa Wema,kipindi wema anaachwa na the late Kanumba mbona hao mashabiki hawakuwa upande wa ray kigosi
 
U

UMEONGEA UKWELI MTUPU KABISAAAAA,NA NDO MANA HATA MSANII WANAYEMUONGELEA KUTWA NI DIAMOND NA PAGE ZAO KAJAA YEYE NA FAMILIA YAKE


BY THE WAY BEEF HILI LA KIBA IIMEMSAIDIA SANA KUPATA HELA YA MBOGA
Mbona hapa anazungumzwa Alikiba na sio Benpol kaka au we huoni
 
Aseme kabla ya diamond kutoka Je fans waliokuwa wanamshabikia Alikiba walikuwa wanamchukia nani?
Hawajielewi hao alikiba anawanyima sana usingizi tena wao ndo wanamchukia alikiba yaani wao wanataka asikike domo tu tz nzima yaani wana roho mbaya kama domo wao
 
Much wewe Alikiba alianza muziki na kina Dully wewe umezaliwa mwaka gani fanya uchunguzi kwanza Mr Blue kawa maarufu hata Kiba hajulikani
 
Bado hujajibu hoja.Kabla ya diamond kutoka mashabiki wa Alikiba walikuwa haters wa nani?Hebu nifungue halo
Note[emoji815] sio first love kwa Wema,kipindi wema anaachwa na the late Kanumba mbona hao mashabiki hawakuwa upande wa ray kigosi
Niliacha kukujibu kwa sababu unaonekana huelewi na wala huelekei kama utakuja kunielewa manake, kitu kimoa nimekisema zaidi ya mara moja! Hivu kuna mahali niliposema mashabiki wa Kiba ni haters?! Hebu nisome kwa makini huku uki-focus kwenye punctuations. Posts ya kwanza kuzungumzia haters ni hii hapa:

Mosi, nimekuaambia kuna wengi wanaomshabikia Kiba ambao ni haters. Neno wanamshambikia nimeliweka kwenye kifungua na kifunga kuonesha sio mashabiki halisi wa Kiba bali ni haters wanaojifanya mashabiki wa Kiba! Au hufahamu matumizi mbalimbali ya " " ? Hujiulizi kwanini neno wanamshabikia nilitumia hizo kifungua na kifunga semi?

Sikuishia hapo, nikafafanua hao ambao "wanamshabikia" Kiba wengi wanatoka wapi na nikataja kabisa kwenye hiyo post ni wale fans ambao ni wa Wema ambao baada ya Wema kupigwa chini na Diamond wakageuka kuwa haters huku wakijifanya ni mashabiki wa Kiba!

Hata kwenye post iliyofuata, ni hapa: Kwa mara nyingine nimeonesha haters wakiongozwa na Wema na Jokate! Kuna niliposema ni mashabiki wa Kiba hapo?!

Na hapo juu nimesema before Seduce Me iliizidi Zilipendwa kwa Views laki 9 lakini hivi sasa imeshapitwa kwa sababu Kiba hana mashabiki wengi walio loyal kuna haters wa Diamond wanaojifanya ni mashabiki wa Kiba!!!!

Unapouliza unatakiwa kwanza kuelewa kilichokufanya kuuliza maswali! Kuna tofauti kati ya mashabiki na haters! Na kuna tofauti kati ya mashabiki na wanaojifanya mashabiki!!!
 
Kama ni haters kila msanii anao mfano hata wewe ni hater wa Alikiba.Kuthibitisha kuwa hata Alikiba anao hater nilikwambia nenda kwenye Alikiba YouTube account nenda kasome comment uone haters wenzio wanavyomtukana jamaa.Hoja yako haina mashiko diamond kumwacha wema hivi huyu wema diamond alikuwa ni first kwake mbona mnasaka vichaka visivyo na maaana
 
Achana naye ni kichwa maji so utaumiza vidole bure tu mtu unamtolea hadi mifano lkn anajibu kwa hoja nyepesi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…