Mashabiki wa Alikiba siyo real, ni maadui wa Diamond – Mama Ashura

Ndo maana nimekuambia HUELEWI!!! Kwanza sijasema Kiba hana haters bali nilichosema ni kwamba kuna watu kibao wanajifanya mashabiki wa Kiba lakini kimsingi ni haters!

Nikakupa source ya haters wa Diamond ambao wanajifanya ni mashabiki wa Kiba! Kwahiyo hoja yako eti niende Youtube ni irrelevant! Ni irrelevant kwa sababu nimeshakuambia mara kadhaa kwamba kuna mashabiki na haters lakini nakuona huelewi!!!

Comments za hovyo zinaweza kutoka kwa shabiki. Na shabiki wa upande mmoja anaposema mbovu kwa upande mwingine sio kwamba ni hater bali ni shabiki wa timu hasimu! Ndo ushabiki huo jombaa!!! Ni kama shabiki wa Yanga anaposema mbovu dhidi ya Simba! Si kwamba anaichukia Simba bali yeye ni shabiki wa upande hasimu!!!!

Hater anakuwa na sababu zake personal! Kama ambavyo baadhi ya mashabiki wa Wema walipogeuka kuwa haters wa Diamond simply because "madam" wao kapigwa chini!!! Kama ambavyo Mange Kimambi alivyo hater wa Diamond na kujifanya kumshabikia Kiba simply because ukimchokoza Wema Sepetu fahamu umemchokoza Mange Kimambi!!!!

Halafu kama unabisha kuhusu mashabiki Wema ambao walianza kumchukia Diamond baada ya wawili hao kuachana na Diamond kuwa na Zari basi kumbe nilikuwa sahihi nilipokuambia unaonekana sio mfuatiliaji wa haya mambo!!! Kila anayefuatilia mamboya burudani analifahamu hilo hadi wakaanzisha kampeni kuhakikisha Diamaond hachukui tuzo za MTV!! Umeanza lini kutumia smartphone?
 
Ni kwambie ukweli tu boy,you need to grow up.Nilikwambia kama haters kila mtu anao hater ukiacha mbali hao wasanii.Nikuulize kabla ya Alikiba kurudi katika industry diamond hakuwa na haters? Kama alikuwa nao unaweza kuwambia wana jf walitoka wapi.Fan A anaweza kuwa shabiki wa Alilkba than akawa tena hater kwa diamond hata kwa Alikiba inakuwa hivyo na hata kwa wasanii wengine ndo ilivyo.I want to expand you're point of view kwa kuangalia pande zote mbili.Kama diamond anachukiwa kwa sababu hiyo vipi kuhusu Alikiba anachukiwa kwa sababu zipi.?
Kuna hoja ulisema Alikiba ana fans wachache that's why wimbo wa seduce me uliongoza kwa views laki 9 lakini kwa sasa kapitwa.Hivi unajuwa kama diamond alitoa nyimbo 4 as solo artist kabla ya zilipendwa.Umejaribu kuziangalia zina views wangapi.Nyimbo hizo zina zaid ya miezi mmoja +days forward lakini zimeachwa mbali na wimbo mmoja uliotoka wiki za hivi karibuni ,Je diamond ana fans wengi ulitumia kipimo gani kama views kimeshaku prove wrong.
 
Mwambie na boss wako atoe nyimbo nne au tatu kwa mkupuo tuone kama zitafikisha hata hizo viewz kwa mda huwo....

Kuna nyimbo zaid ya moja kiba aliachia na mond akaja kuachia lkn zikaja kupitwa viewz kama zimesimama
 
Hoja za hovyo kabisa!! Unaniuliza anachukiwa kwa sababu vipi wakati ni wewe uliyesema anachukiwa?! Sasa si ni wewe mwenyewe ndio uweke sababu kwanini anachukiwa?

Halafu angalia hoja zako zingine! Unatumia hoja za nyimbo 4 za Diamond wakati kila mwenye macho anafahamu kwamba tangia hapo Diamond ni mtu wa kuburuza kwenye Views hadi majuha wakafikia kusema ananunua views wakati kila mwenye akili timamu anafahamu huwezi kununua "real" views! Ina maana hufahamu kwamba hata hao wanaopata 1 billion views zipo videos ambazo hata 100M huwa hazifki?! Kama unadhani hiyo ni hoja, unasema nini kuhusu Cheketua yenye Views 6M ikiwa na zaidi ya miaka 2 na Seduce Me yenye only one month?

Unasemaje kuhusu Aje ambayo ni bonge la ngoma compared to Seduce Me lakini hadi sasa haijafika hata 7 M Views huku tayari ikiwa na zaidi ya mwaka mmoja unusu compared na Seduce Me!

Ungekuwa na uwezo wa kuangalia mambo kwa jicho la tatu ungejiuliza how come Kiba ambae mara zote video zake huwa hazifanyi vizuri lakini hii ya Seduce Me ndio ilifanya vizuri sana tena kwa kasi ya ajabu!

Lakini kama thread inavyosema, mashabiki wengi wa KIba sio real! Na ndio maana Seduce Me ilifanya vizuri only 3 weeks na hivi sasa imefikia level zake za kawaida wakati mwenzake bado kasi iko pale pale!

Diamond ndie mwenye followers wengi Tweeter, Instagram na Facebook kuliko Kiba
Diamond ndie huwa anakomba views nyingi Youtube kuliko Kiba
Diamond ndie ameshawahi kufanya expensive show na kujaza na sio Kiba!
Diamond ndie amezoa tuzo nyingi kuliko Kiba

Na hapo ndipo inarudi hoja ya msingi kwamba "mashabiki" wengi wa Kiba sio real bali ni haters wa Diamond wanaojifanya mashabiki wa Kiba!!! Na kama Kiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond, kwanini basi yeye ndie awe ni mwenye followers wachache kuliko mwenzake? Kwanini basi hata kwenye Views anakuwa nyuma ya mwenzake? WHY?

You know what? Kubishana na mtu kama wewe ni wastage of time manake unaongea kwa kutumia hisia na mahaba badala ya statistics!!! Na hili nisiendelee kupoteza muda, hebu jibu kwanza hii post hapa chini! Unakubali huo ukweli ulioambiwa kifimbocheza au na wenyewe unakataa?
@kifimbocheza_ , naomba unijuze! Hivi alishakujibu hiyo post hapo juu?!
 
Unatumia nguvu kubwa kuaminisha jambo ambalo si la kweli.Views YouTube wewe ndo ulianza kuleta hoja hiyo kwa kujaribu Ku compare hizi nyimbo mbili(Seduce me and zilipendwa) alafu uka conclud kuwa Alikiba ana fans wachache ndo maana anapitwa views lakini ukasahau kuwa wimbo wa zilipendwa una jumla ya artists 6 ambao wote wanafanya vizuri.Kujaribu kulinganisha views ni kufanya mistake kubwa sana.Kukuonyesha kuwa views halisi wa Diamond as solo artist kwa kuangalia nyimbo zake za hivi karibuni nakushangaa unabadili maada Hawa ndio views halisi wa diamond au unakataa na hili.

Nadhani ili kupima maendeleo ya kitu/jambo lolote tunategemea litoke from lower stage to the higher stage kama alikuwa ana pata view wengi kipindi cha nyuma why sasa hivi anaporomoka kumsingizia Alikiba ni kutafuta majibu mepesi na dalili za mtu mvivu na mwenye chuki.Labda nikukumbushe kipindi cha zamani tuzo kwa tasnia ya mziki wetu hazikuwa dili sana kuna wasanii wengi walifanya vizuri kuliko alikiba lakini hawana tuzo.Dulli Sykes hakuwa kupata tuzo,Mr blue na wengine wengi tu.Baada ya Alikiba kurudi kwenye industry alichukuwa tuzo 5 za KTMA ambazo zilikuwa ziende kwa Diamond. Tangu arudi kwenye industry ameshachukuwa tuzo nyingi tu kwa kipindi kifupi hiki ndo kipimo cha maendeleo Mkuu.
 
Niliamua kumpuzia maana hoja zake nyepesi......mtu katoa nyimbo tatu kwa mkupuo na zote zina viewz za kutosha alafu analeta sababu za kipuuzi.......kama anajiamin amwambie kiba atoe nyimbo tatu kwa mpigo tuone kama atapata izo viewz kwa mda mchche huwo.

Kwnye acc ya vevo kiba alijiunga mwanzo kuliko domo lkn kaangalie nani ana subscribers weng......kiba ana 73k subs huku domo akiwa na almost 80k subs. Alafu jamaa linaleta hoja za kitoto kabisa eti zilipendwa imefikisha viewz nyingi kwa sababu ina wasanii 6 ndani yake huku akisahau kuwa msahabiki wa mond ndo hao hao wanaoshikia wcb kwa ujumla. Halafu anasahau kuwa kipindi hizi nyimbo zikiwa zinatoka moja ilikuwa ikipigiwa chapuo la kampen na promo la kutosha mpk kupelekea zilipendwa kuzidiwa 900k viewz cha ajabu viewz zote zimepitwa.
 
Kuna hoja aliitoa kuwa kiba kenya ana mashabiki wengi kuliko mond nikamuuliza anatumia facymt gani kupruvu msemo wake. Nikamuuliza kwa nn wakienda kupiga show wote shem moja mbn domo anakulaga hela nyingi kuliko kiba na source nikampa akaishia kukaa kimya tu.

Kuna mmoja beef linamsaidia nankuna mmoja beef halina faida kwake coz hata historia inajionyesha.
 
Unatumia nguvu kubwa kuaminisha jambo ambalo si la kweli.
Nani anatumia nguvu kati yangu ninayeandika peke yake na wewe unaehangaika kuweka screenshots?
Views YouTube wewe ndo ulianza kuleta hoja hiyo kwa kujaribu Ku compare hizi nyimbo mbili(Seduce me and zilipendwa) alafu uka conclud kuwa Alikiba ana fans wachache ndo maana anapitwa views
Sasa kama nili-compare Zilipendwa na Seduce Me, hayo ma-screenshot ya ENeka na zingine yanahusika vp? And remember, hizo zinaonekana zina views chache kwa sababu ni Diamond lakini Kiba hizo ndo level zake!

The only video ya Kiba iliyofikisha 10M ni Mwana ya miaka takribani 3 iliyopita na ina views less than 12M. Views zaidi ya 10M kwa Diamond ni jambo la kawaida!!!
lakini ukasahau kuwa wimbo wa zilipendwa una jumla ya artists 6 ambao wote wanafanya vizuri.
I hate to say this but ni mtu mwenye matatizo ya uelewa tu ndie anaweza kuamini kwamba views nyingi kwenye Zilipendwa zinatokana na hao wasanii wengi uliowataja!!
Kujaribu kulinganisha views ni kufanya mistake kubwa sana.
Kumbe unatumia vigezo gani kwamba Kiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond?
Kukuonyesha kuwa views halisi wa Diamond as solo artist kwa kuangalia nyimbo zake za hivi karibuni nakushangaa unabadili maada dio views halisi wa diamond au unakataa na hili..
Hovyo kabisa! Kwahiyo video zingine za nyuma sio za kwake na hazistahili kuwa sehemu ya kupima nguvu zake? Hivi we jamaa unajua unachoongea lakini?!

Sasa mwambieni huyo Kiba aachie ngoma 3 mfululizo muone hata kama hizo 3M Views atapata!!! Mtu kakaa zaidi ya mwaka, boost kila mahali lakini ndo kwanza ngoma Seduce Me inakimbizwa na watu ambao kila wakati wanatoa ngoma!
Kama hujui kwamba hoja zako ndo hoja nyepesi basi una matatizo si kidogo!!! Kiba yupo kwenye game zaidi ya miaka 10 halafu bila aibu unasema kupima maendeleo ni kutoka lower to higher stage huku maendeleo yenyewe ukipima kwenye views za Seduce Me!! Now what about Diamond ambae kupata views 10M+ ni jambo la kawaida huku Kiba akiwa amefikisha 10M mara moja tu tangu azaliwe!!!!
Acha uongo wako wewe!!! Kwahiyo unataka kusema tuzo zilikuwa na deal baada ya Kiba kupata tuzo 5 na huko nyuma kwavile alikua anatoka mikono mitupu, ndo hazikuwa na deal?! Hata aibu huoni!!!
Na ungekuwa na aibu ungetafuta jibu kwanini baada ya Kiba kuchukua tuzo 5, wadhamini wakaaachana kabisa na kudhamini tuzo zenyewe baada ya kuona ujinga uliofanywa na waandaji!!!

Na kuonesha kwamba tuzo zilijaa figisu figisu, ndo maana badala ya KTMA, Mond akaenda kuchukua Channel O tuzo 3, MTV Afrca na MTV Europe bila kusahau matuzo mengine kiba ya Kinigeria!!! Hiyo rekodi sio Kiba tu bali hakuna msanii yeyote Tanzania ambae amewahi kuifikia!
Tangu arudi kwenye industry ameshachukuwa tuzo nyingi tu kwa kipindi kifupi hiki ndo kipimo cha maendeleo Mkuu
Tuzo nyingi zipi? Za KTMA? Kwani wakati Diamond anachukua MTV Africa na MTV Europe Kiba alikuwa hajarudi?! Au unatakiwa kukumbushwa kwamba Kiba alirudi 2014?
 
Kama ameburuzwa hadi VEVO Subscribers basi ni kupoteza muda kubishana na huyu jamaa!!!

Tena kwa case ya Vevo, Diamond mwenyewe ana-post sana kwenye akaunti ya kawaida na kama angekuwa ana-post Vevo account hao subscribers hivi sasa wangekuwa wameshafika 300K
 
Nina uhakika hilo wala hafahamu kwamba siku wamepanda jukwaa moja, Mond alilipwa 5M za Kenya ambazo ni zaidi ya 100M za Kibongo wakati Kiba aliambulia 3M!!!
 
Kapost post moja tu ya wimbo wake wa marry you ambao mpk sasa una viewz 16M.
 
mmmmh
 
Domo anaingia kwenye tabaka la Psquare Pesa nyingii hit song hakuna..."nalipwa pesa nyingi kufanya show kuliko msanii mwingine Tz"kasahau Tevez ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote duniani..Je anawazidi kiuchezaji Ronaldo.Messi.Neymar..jiandaeni kisaikolojia Team Mondi..mwisho sio mbali
 
Umeandika utumbo gani huwo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…