mashabiki wa barcelona ni mamluki

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
mashabiki wa barcelona ni mamluki waliohama chelsea na arsenal hawana jipya!!!
 
Lazima tuhamie, ndio maana ya Regional Groupings. Arsenal na Chelsea ni timu za Champions League so as Barcelona.

Man City na Man Sita ni timu za Europa Cup (mashindano madogo km watoto wanavyocheza gololi mtaani) kwa hiyo hamuwezi kuchangamana na Barcelona, umeelewa sasa?

Hamia Airtel!
 
Am proud to be Barca fans. mwaka huu maadui mpaka mtepete tunagonga bila kuangalia una masaburi mazuri au mabaya😛oa
 
Tutake radhi plseee! Hukipenda unaweza kujiunga nasi ni buree hakuna gharama!! Barca 4rever, viva Barcelona!!!!
 
Asili kabisa ni Majogoo wa Shamaba la An (Anfield)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…