Mashabiki wa Cape Verde toka mwanzo wa Afcon gonga Likes😉

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
389
Reaction score
911
Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde.

Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo...

Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja.

Hili kombe linaenda kwa underdog
 
jipe moyo mkuu
 
Wakubwa wote tumetolewa acha nawao wachukue hii sio mbaya
 
Back
Top Bottom