Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 911
jipe moyo mkuuNilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde.
Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo...
Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja.
Hili kombe linaenda kwa underdog
๐๐๐ kaka mimi nilikua na cape verde mpaka mwisho...tupo hapa anamtoa south africawakifungwa je ?. usije kuwa kama maua sama bet tz kwa milioni 3
mali safari yake inaishia roboMali anachukua hii mali
umebeti๐๐๐ kaka mimi nilikua na cape verde mpaka mwisho...tupo hapa anamtoa south africa