Mashabiki wa Chelsea achane izo...

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kila shabiki wa Chelsea Jana na leo wanakwambia Chelsea imefungwa ila nashukuru kwa Tanzania Simba imenifuta Machozi.

Arsenal 3 Chelsea 0.
Simba 4 majimaji 0
 
Jana man utd kanifariji ila leo Yanga hoi
 
Shabiki wa Chelsea na Yanga wikiendi ngumu
 
Shabiki wa Chelsea na Yanga wikiendi ngumu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jana man utd kanipunguzia uchungu sipati picha jana man utd angechapwa na ndo iyo leo yanga kaboronga ingekua shida
 
Tuna share maumivu hapa
Naona Stand leo wamechafua gazeti,ila beki hazikua na umakini sana leo wamecheza kipole mnoo combination ya bossou/Dante bado haijakaa vizuri nahisi kocha ameliona ilo.

Pia viungo leo walipotea kbsa labda uchovu na maandalizi ya moja octoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…