Mashabiki wa Coastal Union watishia kusoma Albadir

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Baada ya gemu ya jana mashabiki wa Coastal Union wamejitokeza na kutishia kusoma albadir viongozi wao kwa maelezo yao kwamba wameuza gemu.

Shabiki mmoja akiongea kwa uchungu amenukuliwa akisema haiwezekani gemu ngumu na Simba wapangwe wachezaji wa kikosi cha timu B huku wachezaji wote wa kikosi cha timu A wakiwa wazima, akiendelea kuongea kwa uchungu anasema kama yule kipa aliyepangwa na kipa chaguo la tatu huku makipa wote wawili wakiwa wazima.

Shabiki huyo anatupa lawama kwa viongozi na kuwaambia waendelee tu kuuza gemu ila ipo siku yao.

Ukirudi kwenye uhalisia ile gemu ilikua ya mchongo ilikua gemu ya kukamilisha maelekezo tu kama Mbuzi wa Bwana Heri na Shamba la bwana heri unategemea kesi hapo?
 
Pole sana mwananchi, umeandika kwa uchungu sana!
 
1695370401767.png
 
Yanga mbona mnatapatapa hivi,hebu wacheni ujuha
 
Aahaaaaa
 
Yani inachekesha sana huyo kipa angekua amekaa kiboya au kapngwa jana angekula mvua za magoli walai...
 
Baada ya gemu ya jana mashabiki wa Coastal Union wamejitokeza na kutishia kusoma albadir viongozi wao kwa maelezo yao kwamba wameuza gemu.

Shabiki mmoja akiongea kwa uchungu amenukuliwa akisema haiwezekani gemu ngumu na Simba wapangwe wachezaji wa kikosi cha timu B huku wachezaji wote wa kikosi cha timu A wakiwa wazima, akiendelea kuongea kwa uchungu anasema kama yule kipa aliyepangwa na kipa chaguo la tatu huku makipa wote wawili wakiwa wazima.

Shabiki huyo anatupa lawama kwa viongozi na kuwaambia waendelee tu kuuza gemu ila ipo siku yao.

Ukirudi kwenye uhalisia ile gemu ilikua ya mchongo ilikua gemu ya kukamilisha maelekezo tu kama Mbuzi wa Bwana Heri na Shamba la bwana heri unategemea kesi hapo?
Utopolo bhana!
 
Back
Top Bottom