Mashabiki wa Diamond Wamuombea Msamaha kwa Zari GSM MALL LEO

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube.
VIDEO​

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kufanya manunuzi katika maduka hayo walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka kumuona Zari huku wakiimba wifi… wifi.

Purukushani zilitawala nje ya duka hilo wakati kila mmoja akijaribu kumsukuma mwenzake ili aweze kumuona Zari aliyekuwa ameketi katika makochi akizungumza na wafanyakazi.

Watu walivutiwa kumuona mwanamke huyo kutokana na hivi karibuni kupamba vichwa vya habari baada ya mpenzi wake kukiri kuzaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Ujio wa Zari nchini amekuwa na mvuto kwa kuwa mashabiki wamekuwa wakilinganisha matukio katika maisha ya Zari na Hamisa.

Siku moja kabla ya Zari kutoa tangazo kuwa angeshiriki uzinduzi wa duka jipya la Danube, mwanamitindo Hamisa aliweka tangazo la duka hilo ambalo liliwahi kufanywa na wapenzi hao mapema mwaka huu.

Katika tangazo hilo Zari alisikika akimpiga kijembe mwanamke aliyeacha hereni nyumbani kwa mwanamuziki huyo, Madale jijini Dar es Salaam akimtaka aende akachue.

Katika posti yake kwenye mtandao wa Instagram, Hamisa aliandika: “It’s about time nifuate hereni zangu, I hope they are still there.” Akimaanisha umefika wakati nifuate hereni zangu, nadhani zitakuwepo.
 
This place/forum is not where I parked my car...I think my finger tip just touched notification link.
 
Mange kama kaipotezea hii...Jana alikuwa kaipania sana...au hackers!!!?
 
MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube.
VIDEO​

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kufanya manunuzi katika maduka hayo walijazana nje ya duka jipya la Danube wakitaka kumuona Zari huku wakiimba wifi… wifi.

Purukushani zilitawala nje ya duka hilo wakati kila mmoja akijaribu kumsukuma mwenzake ili aweze kumuona Zari aliyekuwa ameketi katika makochi akizungumza na wafanyakazi.

Watu walivutiwa kumuona mwanamke huyo kutokana na hivi karibuni kupamba vichwa vya habari baada ya mpenzi wake kukiri kuzaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Ujio wa Zari nchini amekuwa na mvuto kwa kuwa mashabiki wamekuwa wakilinganisha matukio katika maisha ya Zari na Hamisa.

Siku moja kabla ya Zari kutoa tangazo kuwa angeshiriki uzinduzi wa duka jipya la Danube, mwanamitindo Hamisa aliweka tangazo la duka hilo ambalo liliwahi kufanywa na wapenzi hao mapema mwaka huu.

Katika tangazo hilo Zari alisikika akimpiga kijembe mwanamke aliyeacha hereni nyumbani kwa mwanamuziki huyo, Madale jijini Dar es Salaam akimtaka aende akachue.

Katika posti yake kwenye mtandao wa Instagram, Hamisa aliandika: “It’s about time nifuate hereni zangu, I hope they are still there.” Akimaanisha umefika wakati nifuate hereni zangu, nadhani zitakuwepo.

These jobless bagaz need some life. Pettiness at its apex
 
Biashara za watu hizo. Kwa sasa wameshafika Zenj wakienjoy. Sisi tubaki humutukibishana tu. Ooh katemwa , ooh leo wamelala mzungu wa nne Madale. Ooh hana chake!
Siku tukisutwa ndo tutajua amani kuna show!
 
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
 
Back
Top Bottom