Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Kivipi tena.Ndoto
Italia haijafikia alama za uingereza kuwakilisha timu nneKivipi tena.
Walichobadili ni kwamba nchi zinazopeleka timu nne, timu ya nafasi ya nne haitaanzia kwenye knockout stage bali zitaenda moja kwa moja hadi kwenye makundi.Uefa walishabadili hicho kitu mwaka huu, kwa ajiri ya biashara, mwakan wote hadi italy wanapeleka timu nne
Acha kupotosha umma, hata juve wakichukua kombe haina athari yeyote epl,Mkae mkijua kama kesho Juve akimtoa Barca, Italia inachukua nafasi ya Uingereza katika nchi zinazotoa vilabu vinne UCL. So msimu ujao England itawakilishw na vilabu vitatu.
Hapo hamtakuwa tena mnapigania top 4 bali mtapigania top 3[emoji1] [emoji1] [emoji2]
Bora iwe hivyo maana mkienda huko ni aibu tupu huku mkisifia ligi yenu ni ngumu.
Siyo ya kutegemea sana kwa mchezo ilyouonesha jana.ILA MANU IWE KATIKA IZO TATU kwa sababu uropa ni yetu na sheria itafata mkondo wake kama kawaida.