Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuna mechi walifungwa ila walifanya kama ivyo kusafisha uwanja kombe lilopita na walitoka ila ni wastaarabu.Kama huwa wanafanya hivyo mara nyingi na sisi hatujajifunza kutoka kwao, basi tuna matatizo sisi
Nafahamu kuwa wana tabia nzuriNi kawaida ya hao jamaa wana miiko sana.
Kuna clip moja inaonesha jinsi watoto wa kijapan wanavobehave sawa kulingana na tamaduni zao.
Ngoja tutaona huko mbeleni kama huu usafi utaendeleaHata wakifungwa, usafi wanafanya kama sehemu ya utamaduni wao wa maisha
Umeshajibiwa wangefanya, Sasa naona unaongeza na magoli, hata akikujibu watafanya ,utamwambia goli Mia je?Nafahamu kuwa wana tabia nzuri
Jaribu ku imagine kama wangepigwa goli 7-0 huo usafi wangefanya?
Hua wanafanya usafi hata kama sio team yao inacheza,hiyo ni tabia yao.Wangefungwa wangefanya huo usafi?
Mkuu, hii tabia hawajaianza kwenye World cup hii tu, ni World cup zote wanazoshiriki, mpaka wachezaji husafisha vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya kuondoka,Ngoja tutaona huko mbeleni kama huu usafi utaendelea
Ni kawaida yao na kombe la dunia lililopita walifanya hata kama wamefungwaWangefungwa wangefanya huo usafi?
WabarikiweHii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na kuondoka...
Asante kwa niaba yao.Wabarikiwe
Bro kombe la dunia 2018 walifanya usafi Hadi siku waliyofungwa na kutolewa kwenye mashindano, had kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji walifanya usafi na kuacha ujumbe wa kushukuru.Wangefungwa wangefanya huo usafi?
Unajua watu tuna kasumba moja ya ajabu sana, tunapenda mno ukubwa kwa kudhani kuwa usipojimwambafy utadharaulika wakati siyo, kasumba mbaya sana hii.Hii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na kuondoka...
hawa waliofanya usafi changing room na kuacha ujumbe walikuwa South Korea ila ni jamii mojaBro kombe la dunia 2018 walifanya usafi Hadi siku waliyofungwa na kutolewa kwenye mashindano, had kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji walifanya usafi na kuacha ujumbe wa kushukuru
Fatilia kwenye mitandao utaona hao jamaa wana nidham sana
Basi hao wote wamelelewa hivyo kuacha uchafu sehem kwao ni kama vile kwetu mtu atoke ndan aende sokoni na chupi tuhawa waliofanya usafi changing room na kuacha ujumbe walikuwa South Korea ila ni jamii moja
Ha ha ha, ulienda? Mbona hukuniita tuongozaneAsante kwa niaba yao.
Ushaambiwa ni utamaduni wao, wewe ndio unaona ajabu.Nafahamu kuwa wana tabia nzuri
Jaribu ku imagine kama wangepigwa goli 7-0 huo usafi wangefanya?
Mechi ya final tutaenda pamoja usijali.Ha ha ha,ulienda? Mbona hukuniita tuongozane