babuu Jr ludovic
Member
- Dec 11, 2011
- 12
- 2
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
Mkuu, wewe ni mshabiki wa Liverpool kweli?! Mbona kule kwenye uzi wa Liverpool hatukuoni???baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
Hata la FA litatuhusu kwa 99% na piga kimya na utaliona.
isije ikawa ni baadae sana..
Mkuu, wewe ni mshabiki wa Liverpool kweli?! Mbona kule kwenye uzi wa Liverpool hatukuoni???
Fainali ya Jpili itakuwa ngumu kweli, pressure itakuwa juu ya Liver maana ndio wanaopewa nafasi kubwa zaidi.. na Cardiff siyo warahisi kihivyo...
Lazima tuubebe. Maana ukame ulizidi anfield, bora tuondoe nuksi
Hata la FA litatuhusu kwa 99% na piga kimya na utaliona.
kombe ni kombe...halafu itakuwa timu ya kwanza england kunyakuwa KOMBE msimu huu (angalia msisitizo wa neno "kombe" maana kuna watu wanaweza kuanza kuchanganya masomo hapa!).
hao akina manure, chelski, gooners, mansex waendelee kusubiri tu...na miongoni mwa hawa (siwataji) wao ndio kama tayari kwishnei kabisa!
nikiangalia timu zilizosalia FA cup, kuna uwezekano nalo likatua anfield!
halafu kwa jinsi king kenny (kocha wa mataji) anavyoendelea kusuka kikosi, msimu wa 2013/14 taji la ligi la 19 litatua anfield. msimu huu na ule ujao (2012/13) waache akina mahela (mansex) waendelee na baiskeli yao ya migomba!
Mbona iko hapahapa mkuu?! Itafute 'Liverpool fc, special thread' samahani kuwa sina namna nzuri ya kukuelekeza.. lakini utaiona kwenye jukwaa hilihili la michezo.me liverpool damu sema kwenye hyo page bado cjakuwa member kama vp ni add au nielekeze ntalpata wap....then hyo fainal itakuwa ngumu ila naamn 2naweza lichukua usihofu
Wakubwa!
Washabiki tuliochagua timu nzuri ktk hali ya ushabiki tukajikuta tukiwa ktk wakati mguu na hali si hali nikakumbuka hili neno kwenye chata ya Club:
"YOU'LL NEVER WALK ALONE"
Maneno haya yananifarijigi Mi binafsi sana na ndiyo ikanifanya nikabaki ktk hali ya kuipenda Club yetu na kudumu ndani yake mpk hivi sasa tulielekea ktk kunyakua bila shaka vikombe viwili na kusaka nafasi ya kukipiga UEFA nex season!
NINA SWALI JAMANI!
Hv mechi ya kesho tukichukua hilo komba la Calling,na tukawa nafasi ya 4 ktk msimamo wa leage kuu. Je? Itakuwa tunacheza UEFA kubwa na ndogo?
Nauliza hivyo kwa sababu pale Uingereza sheria yao ya soccer inampa nafasi bingwa wa Calling kucheza Uefa ndogo. Na sasa nina IMANI tunaweza kukwea nafasi ya 4 bila shaka.
Kwa anayejua vema hili atunyambulie itakuwaje!
Pamoja Wadau!!
Ni UCL, ndo ruksa kucheza tukiwa wa 4..issue kama hii ilitokea kwa Man City msimu uliopita..
Timu zinazotakiwa kucheza Uefa ndogo kama sijakosea ni:-
1.Wa 5 EPL
2.Timu yny nidhamu
3.Mabingwa wa Fa
mashabiki wote wa liverpool ni wajinga na wehu pia.
mashabiki wote wa liverpool ni wajinga na wehu pia.