mashabiki wa liverpoolfc


Mkuu liverpoolFC
Mfano liverpool wakimaliza kwenye top 4 kwenye league na wakashinda Carling Cup, watacheza Champions League na mshindi wa pili kwenye Carling Cup atacheza Europa League.
Ikiwa Liverpool atamaliza nafasi ya 5 au ya 6 kwenye league na akachukua kombe la Carling, atacheza Europa na mshindi wa pili kwenye Carling{ Cardiff} atacheza Europa League{ Kwasababu liverpool tayari watakuwa wame qualify moja kwa moja kupitia kwenye league}
 

Nimekusoma vema kbs Kamanda!
Thnkx!
 

Kombe la kuku?,una maana gani,hakuna kombe dogo England bwana mzee.Watu wanalipa fedha nyingi rekebisha mkuu.
 
Mkubwa!

Kwa jina unalotumia,matamushi uliyotoa haifananini na jina unatumia!

Hebu rudia tena maneno yako!

unajua mashabiki wa liverpool waliniudhi kwenye ile issue ya Suarez, yaani pale ndipo nilipozidi kutoipenda liverpool. Kuna mchizi mmoja yeye anajiita mr liverpool Ezekiel Kamwaga, yeye ndio aliandika pumba zaidi, yaani yeye ndio mjinga na mwehu zaidi!
 

haturudi nyuma, suala la Suarez tumeshalimaliza kitambo. Yamebaki masaa 11
 
Manchester united, Old traford, theatre of dreams, capital of trophies mimi ndio niko hapo kwa the red devils.

mkuu wa chuo cha wabakaji kama giggs, wavuta bangi kama rio, waasherati kama rooney, wacheza kamari kama fergie
 
Game sa ngapi wakuu nisije kosa uhondo,cku nyingi cjaona wachezaji wet2 wakimwagiwa vimurimuri..
 
Unaonyesha usivyoijua issue unayoiongelea! Sanasana utakuwa umekaririshwa tu... Na huyo mzungu wenu evra angeambiwa maneno hayohayo uliyowaita mashabiki wa Liver mngeanza makelele kuwa ametukanwa kwa sababu ni 'mzungu' maana akiitwa mwafrika hamtaki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…