Mashabiki wa Mamelod Sundowns wa hapa Bongo: Masandawana ni matapeli

Mashabiki wa Mamelod Sundowns wa hapa Bongo: Masandawana ni matapeli

Zouzoutz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
1,883
Reaction score
2,732
Mashabiki wengi wa kuazima wa Mamelodi wamelala usingizi wa mang'amung'amu hiyo Jana

Hawakutegemea walichokiona,hawaamini macho Yao

Waliloliwaza wiki nzima halijawa

Wameishia kutoa mapovu ya sabuni ya mche ya komoa

Wameanza kuwaita Masandawana ni matapeli

🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240331-075147.jpg
Screenshot_20240331-075134.jpg
Screenshot_20240331-074401.png
Screenshot_20240331-075057.png
 

Attachments

  • Screenshot_20240331-075257.jpg
    Screenshot_20240331-075257.jpg
    14.4 KB · Views: 3
Kuna watu eti walifikia mpaka hatua ya kulalamika kwa nini wanazuiliwa na Waziri kuvaa jezi za timu za nje na kuzishangilia! Ila Watanzania wengi ni wendawazimu aisee!
Aahaaaa

Na Bora walivyozuiawa
 
Back
Top Bottom