Tuweke akiba ya maneno ✍️
"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain 🇹🇳 utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"
Full — 🇹🇳 Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________
"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"
Full — Yanga 3 - 1 Mazembe 🇨🇩
Full — 🇨🇩 Mazembe 0 - 1 Yanga
Full — Yanga 2 - 0 US Monastir 🇹🇳
1. Young Africans 🇹🇿 ☑️
2. US Monastir 🇹🇳 ☑️
3. Stade Malien 🇲🇱
4. TP Mazembe 🇨🇩
🎖️ Final (CAF-CC).
_________________________________
"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad 🇩🇿 bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria 🇩🇿, kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"
"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"
Group stage final ;
1. 🇪🇬 Al-Ahly Cairo ☑️
2. 🇹🇿 Young Africans SC ☑️
3. 🇩🇿 CR Belouizdad
4. 🇬🇭 Medeama
_______________________________
"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"
Full — Yanga 4 - 0 CR Belouizdad 🇩🇿
____________________________
"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns 🇿🇦, Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"
Full — Yanga ? - ? Mamelodi 🇿🇦 ...