Mashabiki wa Mamelod Sundows tujuane

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
MASHABIKI WA MAMELOD SUNDOWS TUJUANE MAPEMA Sisi kama mamelod Sundowns tunasema hivi timu tunayoiogopa afrika mashariki na Kati ni simba tu hao wengine hatuwajui

Utopolo mkipata hata goli la offside tu nipigwe ban la mwaka.

MASANDAWENA BA ZULULAND.

BALE BANA BANTA
 
Asante kuweka saini yako na hapa, msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho ulihamia kwa kila mpinzani wa Yanga na ukawa unaumbuka pengine unaweza kuwa unafanana na mwasibu wetu wa JF. Ngoja tuone, pengine safari hii
 
Here they come again out of the woodwork! Ismael Aden Rage hakukosea kabisa. Bravo Aden you are a visionary.
 
Asante kuweka saini yako na hapa, msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho ulihamia kwa kila mpinzani wa Yanga na ukawa unaumbuka pengine unaweza kuwa unafanana na mwasibu wetu wa JF. Ngoja tuone, pengine safari hii
Kumbe unayo kumbumbumbu nae hii ndio kama ndagu yetu akianza hivi tunatoboa..
Ana bahati ya kuongea vitu kinyumenyume..
 
Tuweke akiba ya maneno ✍️

"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain πŸ‡ΉπŸ‡³ utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"

Full β€” πŸ‡ΉπŸ‡³ Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________

"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"

Full β€” Yanga 3 - 1 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©
Full β€” πŸ‡¨πŸ‡© Mazembe 0 - 1 Yanga
Full β€” Yanga 2 - 0 US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³

1. Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β˜‘οΈ
2. US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³ β˜‘οΈ
3. Stade Malien πŸ‡²πŸ‡±
4. TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©

πŸŽ–οΈ Final (CAF-CC).
_________________________________

"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ, kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"

"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"

Group stage final ;

1. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al-Ahly Cairo β˜‘οΈ
2. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Young Africans SC β˜‘οΈ
3. πŸ‡©πŸ‡Ώ CR Belouizdad
4. πŸ‡¬πŸ‡­ Medeama
_______________________________

"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"

Full β€” Yanga 4 - 0 CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ
____________________________

"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦, Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"

Full β€” Yanga ? - ? Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ ...
 
Ungekua demu ungekua usha pigwa mimba kwa umalaya malaya
 
Shabiki kindakindaki nakosaje hapa kwenye huu uzi

Nimekuwa shabiki wa Mamelodi tangu Mzee Oliver Thambo akifanya harakati zake za Uhuru huku Mandela akiwa nyuma ya nondo.
 
Masandawana 4 life
 
Mfetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…