Mashabiki wa Mamelod Sundows tujuane

Asante kuweka saini yako na hapa, msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho ulihamia kwa kila mpinzani wa Yanga na ukawa unaumbuka pengine unaweza kuwa unafanana na mwasibu wetu wa JF. Ngoja tuone, pengine safari hii
Mbona alihamia USM Alger msimu uliopita ikiwa chini ya General Benchikha na haikumuangusha hata kidogo
 
Yanga ya sasa si ile ya BAKULI ,yanga hii ya hersi na gsm ,gsm si bahili kama kanjibai....wakikaa vibaya wanakula 5G.
 
Mi shabiki wa simba ukweli ni kwamba siwezi tu kuhamia Yanga kwasababu ushabiki sio nguo.... ila kwa yanga hii weka akiba sio simba kupata kuna mungu
 
Kule Kwa madiba wanaiogopa simba kwa kuchoma viwanja.

Kwa afrika mashariki mamelodi alicheza na young Africans tu ilikuwa 2001 akapita kwa taabu aggregate 6-5, edibily alifunga hat trick Kama sijakosea.
 
Sizipendi rangi za njano bila kujali anayezivaa.
 
Class mate kwenye ubora wako.
 
Na mseme mapema kabisa kama ni wabovu ama tutanunua
 
KUVUUUUUUUKIIII land ..

Kigware gware..
Tupoo
 
"Aweeeeena weeee"
Kunjaniiii
Abazantu bha ozani
Masandawanaaaaaaaa
 
Asante kuweka saini yako na hapa, msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho ulihamia kwa kila mpinzani wa Yanga na ukawa unaumbuka pengine unaweza kuwa unafanana na mwasibu wetu wa JF. Ngoja tuone, pengine safari hii
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…