BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 199
- 168
Kiukweli mimi huwa siwaelewi kabisa mashabiki wa Man U, maana sasa hivi wanamshindanisha Stricker wa Tottenham, Harry Kane na wa Liverpool, Mo Salah.
Sasa najiuliza kwani wao hawana masticker wa kuwasifia kwenye timu yao? Zile sifa walizokuwa wanawapa stricker wao akina Rashford na Lukaku vipi haziwastahili?
Ndugu zangu Man U, kila timu ipambane na hali yake. Spurs wana Kane, Liverpool wana PC10 na Mo Salah, Man C wana De Brune, Arsenal wana Giroud na Man U mna Lukaku.