Mashabiki wa Manchester United tulieni dawa iwaingie

zimwilachi2

Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
93
Reaction score
92
Alex Furguson alipopewa ukocha wa Man United alisema lengo lake la kwanza ni kuumaliza utawala wa Liverpool kwenye soka la uingereza na kweli mzee alifanikiwa kwa kutumia kila njia za ndani uwanja na nje ya uwanja.

Hatimae Furguson aliondoka Man United hakuondoka peke yake ila aliondoka pia na yale malengo yake ya kuiua Liverpool.

Hatimae Majogoo ya Liverpool yamerudi kwenye ubora wake ikiwa wanakaribia kuchukua vikombe vyote vikubwa kwenye ngazi ya Club, washachukua Champions league, UEFA super cup, Club world cup na premier league ikiwa ipo njiani.

Mwisho napenda kuwaambia mashabiki wa Man United watulie dawa iwaingie sisi tilivumilia na tukasubiri kwa muda mrefu kwanini wenzetu mnashindwa kuwa wavumilivu, kila mechi mnatuombea mabaya tukishinda mnakimbilia kwenye VAR.

Tulieni dawa iingie bana KUTESA KWA ZAMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara paaap.! yanajirudia yale ya msimu uliopita.
 
Wakati huu wale mashabiki wanafiki wanavua jezi zao za timu zao za zamani wanavaa jezi za liverpool na wao wanajiita liverpool, na kuzikandia timu zao za zamani,
Mtapata tabu sana

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…